bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Uchawi ni nini na unahakikishaje huu ni uchawi na si tricks tu kama karata tatu?Hao wamezungumzia magic trick na sio uchawi in general.
Uchawi ndio elimu pana kuliko elimu zote katika branches za elimu.
Elimu ya uchawi ndio elimu pana kuliko elimu zote duniani.
Hata wenye PhD ya uchawi still Bado hawawezi fuzu elimu yote ya uchawi.
Ukifaulu kufuzu elimu yote ya uchawi unakuwa na uwezo kumzidi jinni akili unakuwa level ya shetani.
Ubishi si tatizo, bila ubishi hakuna maendeleo.
Uchawi ni sayansi ya elimu ya Giza yenye kuleta nguvu hasi au uharibifu juu ya vitu au,watu,Uchawi ni nini na unahakikishaje huu ni uchawi na si tricks tu kama karata tatu?
Mpaka hapa umeweka imani tu, hujaonesha unavyohakikisha huu ni uchawi.Uchawi ni sayansi ya elimu ya Giza yenye kuleta nguvu hasi au uharibifu juu ya vitu au,watu,
Trick mfano karata tatu sio uchawi hizi ni ishu za mind control yaani uwezo wa kucheza na akili au saikolojia ya mtu au watu.
Uchawi umegawanywa katika makundi matatu kwa mujibu wa elimu ya uchawi Pana
BLACK MAGIC,WHITE MAGIC na RED MAGIC.
Pana magic trick hii ni branch ya whitemagic na magic trick ipo pande mbili Kuna real magic na hii ya pili yaani mind control yaani kucheza na ujanja ndo hio anayoonyesha hao mashehe.
Real magic ni mfano ile iliyokuwa ikionyeshwa na wale mapower wa zamani kina mabula,mwaiseba,mangwana nk ambao Leo ni watumishi wa Mungu wale walitumia uchawi Kama uchawi mfano kunyanyua kreti kumi za soda Kwa meno,gari kupita juu ya kifua kifua kina kilo sitini gari ina tani mbili inapita juu pia walitumia ujanja yaani mind control.
Mfano michezo ya ninja ule ni uchawi kabisa kushambulia na kupotea zipo nguvu ukizitumia unapotea,mfano pana mafuta ukijipaka hauonekani mbele ya watu na unaweza penya kwenye ukuta na ukaingia ndani ya nyumba.Hata mashirikka ya kijasusi makubwa Dunia utumia kila kitu kuanzia technology,sayansi,Hadi white magic.
Tuishie hapo elimu ni pana Dunia ina siri nyingi.
Uchawi sio tangible labda kama unataka utomasoMpaka hapa umeweka imani tu, hujaonesha unavyohakikisha huu ni uchawi.
Unajua chochote kuhusu nguvu za miujiza kwa kizungu inaitwa psychic powerHuman psychology ndio inafanya uone sijapata matatizo , nenda kasome kuhusu Human psychology utajua mengi kuhusu akili za binadamu na tunavyoamini vitu
Sio tu sio tangible, sio logical pia.Uchawi sio tangible labda kama unataka utomaso
Hata hio human psychology sidhani kama unaielewa vizuriHuman psychology ndio inafanya uone wewe yamekukuta , mimi hayajanikuta
Mimi sio mchawi bali Nina elimu kuhusu uchawi unavyofanya kazi,asili yake aina za uchawi na jinsi ya kuziblock nguvu zote zisilete effect kwangu.Sio tu sio tangible, sio logical pia.
Kwa sababu haupo. Ni hadithi za kutungwa tu.
Kama unabisha, prove uchawi upo kwa kuniloga nisikujibu hapa JF.
Kuna dola 10,000 za Kinarekani utapiga.
Ukishindwa utazidi kuthibitisha uchawi ni hadithi tupu.
Unahakikishaje uchawi upo kweli na hizi habari za uchawi si ujinga wa watu tu?Mimi sio mchawi bali Nina elimu kuhusu uchawi unavyofanya kazi,asili yake aina za uchawi na jinsi ya kuziblock nguvu zote zisilete effect kwangu.
Kwani we uoni cxm kila mwaka wanachoma Kodi zetu kuukimbiza ule moto wa kichawi.Unaweza kunithibitishia kuwa uchawi upo?
Huo ndio uthibitisho wako kwamba uchawi upo?Kwani we uoni cxm kila mwaka wanachoma Kodi zetu kuukimbiza ule moto wa kichawi.
Au kwanini mikoa iliyowafanyika matambiko ya kichawi kuitambikia nchi ni masikini Haina maendeleo au imedumaa.Pwani,Tanga,Tabora,lindi.
Vyuo,vitabu, movie,sikukuu za kichawi Halloween maduka ya vifaa vya uchawi USA na ulaya vimejaa hadi ulaya wewe nani upinge.Huo ndio uthibitisho wako kwamba uchawi upo?
Unaelewa hata uthibitisho ni nini?
Hilo ulilisema ni logical fallacy. Non sequitur.
Hizo zote logical fallacies za argument from tradition na argument from authority.Vyuo,vitabu, movie,sikukuu za kichawi Halloween maduka ya vifaa vya uchawi USA na ulaya vimejaa hadi ulaya wewe nani upinge.
Nenda congo au west Africa ukaone vifaa vya uchawi vinauzwa
Yaaani wapoteze TU muda kwa vitu ambavyo ni fallacy? Halloween ni nini sasa kama sio witches day festival.Hizo zote logical fallacies za argument from tradition na argument from authority.
Vyuo vinafundisha habari za uongo zinazopingwa na vyuo vingine kila siku.
Hivyo hivyo kwa vitabu, movies, etc.
Maduka ya vifaa vya uchawi ndiyo uthibitisho uchawi upo?
Sikukuu ya Halloween inathibitisha uchawi upo? Huu ndio uthibitisho wako uchawi upo? Hapa ndipo uwezo wako ulipoishia?
Nikikuuzia kifaa cha kuniabudu mimi kama Mungu, je, hilo litafanya mimi niwe Mungu?
Kuwa na festival ya uchawi hakumaanishi uchawi upo. Ukisema tofauti that is a logical nonnsequitur fallacy.Yaaani wapoteze TU muda kwa vitu ambavyo ni fallacy? Halloween ni nini sasa kama sio witches day festival.
Mungu wa hivyo vifaa ni shetani,unakuaje Mungu wakati hauamini katika Mungu.
Wanafanyaje sherehe ya kitu kisichokuwepo sasa.Kuwa na festival ya uchawi hakumaanishi uchawi upo. Ukisema tofauti that is a logical nonnsequitur fallacy.
Huyo Mungu na huyo Shetani nao pia huwezi kuthibitisha kwamba wapo.
Unajiongezea kutaja vitu ambavyo huwezi kuvithibitisha.
Hujathibitisha uchawi, umekimbilia kutaja Mungu na Shetani, ambao nao huwezi kuwathibitisha.