bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Hao wamezungumzia magic trick na sio uchawi in general.
Uchawi ndio elimu pana kuliko elimu zote katika branches za elimu.
Elimu ya uchawi ndio elimu pana kuliko elimu zote duniani.
Hata wenye PhD ya uchawi still Bado hawawezi fuzu elimu yote ya uchawi.
Ukifaulu kufuzu elimu yote ya uchawi unakuwa na uwezo kumzidi jinni akili unakuwa level ya shetani.