unaleta story za biblia. hata ulaya waliachana na kuwinda wachawi baada ya kugundua biblia ina ujinga mwingi,Hakika nakuambia, amini usiamini, kila penye mafanikio hasa yale ya ghafla, ushirikina upo. Unakumbuka nabii Issa alipomtoa mtu mapepo kisha yakakimbila kwa nguruwe, moja kwa moja mpaka baharini? Huo ndio uchawi ulioshuhudiwa na Yesu. Watu wanaishi kishirikina kwa siri na kuwahadaa watu! Acheni hizo!! Kuna mmoja alikataa kabisa mambo ya uchawi, akapigishwa chura tumboni, sauti ya chura ikawa inatoka tumboni, akaaguliwa na hao aliowadharau. Sasa hivi yupo makini na anaamini uchawi.
Mtu akimkuta ng'ombe mbele yenu mita 5. Akamgeuza kuwa mbuzi. Hiyo ni trick isiyo ya kiuchawi? Kwamba ametumia speed? Kamchukua ng'ombe kampeleka like kisha kaka na mbuzi fasta?
Wale hawatumii logic.yaani hakuna watu wanakera kama wanaoamini ushirikina, ni wagumu sana kushaurika
Wewe ni mpumbavu na mjinga. Ikiwa mpaka vitabu vya dini vinataja kuwa uchawi upo tangu miaka mingi iliyopita iweje wewe useme uchawi haupo? Labda kama wewe huamini dini yoyote.yaani hakuna watu wanakera kama wanaoamini ushirikina, ni wagumu sana kushaurika
Tanzania kuna Sheria inayoharamisha uchawi/ushirikina. Kama ingekuwa uchawi haufanyi kitu Watu wangeruhusiwa tu waendelee naoWale hawatumii logic.
Kushaurika lazima ukubali kutumia logic kwanzaTanza
Ta
Tanzania kuna Sheria inayoharamisha uchawi/ushirikina. Kama ingekuwa uchawi haufanyi kitu Watu wangeruhusiwa tu waendelee nao
Mtu akikiri je? Maana Umesema ni ngumu kuthibitisha. Mfanya uchawi ikiwa akakiri na anaomba asamehewe,hatarudia. Hakuna Sheria ya kumfunga?sheria hiyo ilitungwa mwaka 1928 kwa lengo la kudhibiti watu kujihusisha na imani potofu na vitendo vya kichawi lakini ni vigumu kuvithibitisha mahakamani.
Sheria hiyo imefanyiwa mapitio mara tano yakiwemo ya mwaka 1935, 1956, 1998, 2002 na mwaka 2022
kwa sheria inayotumika leo hii ya mwaka 2022 mahakama haiwezi kuthibitsha uchawi . hukumu za kesi za uchawi zinafutwa
View attachment 2952747
weka ushahidi wa mtu amekiri uchawi akafungwa miaka hiiMtu
Mtu akikiri je? Maana Umesema ni ngumu kuthibitisha. Mfanya uchawi ikiwa akakiri na anaomba asamehewe,hatarudia. Hakuna Sheria ya kumfunga?
Na huwaambii kitu aisee. Nina ndugu zangu aisee ni shida . Kila tatizo linalotokea kwao wamerogwa..yaani hakuna watu wanakera kama wanaoamini ushirikina, ni wagumu sana kushaurika
Imani ya uchawi inaweza kuwa na madhara bila ya uchawi kuwepo, unaelewa hilo?Ta
Tanzania kuna Sheria inayoharamisha uchawi/ushirikina. Kama ingekuwa uchawi haufanyi kitu Watu wangeruhusiwa tu waendelee nao
Unaweza kunithibitishia kuwa uchawi upo?Wengi wanaosema hakuna uchawi ndo unakuta ndo wachawi wenyewe au wana interest zao huko
Aisifuye Mvua, imemnyea.habari wadau
binafsi nashangaa sana watu hasa wasomi wenye smartphone wanaoamini story za ushirikina zama hizi
ukweli ni kwamba ukijipa muda wako kujifunza zaidi jinsi Human physiology na Science of Emotion ilivyo. watajua ukweli mwingi sana wa ubongo wa binadamu unavyofanya kazi na unavyodanganyika
watu wakijipa muda zaidi na kusoma kuhusu history za uchawi hasa msako wa wachawi (Witch Hunts in the Western World) kwenye karne zilizopita ulikuaje na kwa nini kilisababisha msako huo usitishwe. pia wakasoma kuhusu msako wa wachawi uliotokea marekani pia maarufu kama The Salem Witch Hunt na ilikuaje marekani wakaachana na misako hiyo pia, watajua ukweli kuhusu uchawi.
kisha wakarudi kwenye youtube na kuangalia video za magic tricks zinavyofanya kazi. watajua waganga na wanaojifanya wachawi wanatumia mbinu gani kuhadaa watu
mfano kuna video nyingi za youtube za Sheikh Othman michael akishirikiana na Shehe Jafar kitwana ( mganga mstaafu) wakieleza kila kitu kuhusu uchawi na huku wakionesha na mifano ya jinsi waganga wa kienyeji na wachawi wanavyotapeli watu. yaani hakuna mganga ataeweza kukudanganya ukielewa mbinu zao na mazingaombwe yao.
Nashangaa sana kijana wa zama hizi kuamini ushirikina na kwenda kwa waganga wa kienyeji wakati elimu zinapatikana kwa urahisi sana.
jamani kwenye internet tusiangalie tu kina mwijaku na diamond. tumieni internet kupata elimu na kuelewa jinsi ya kusolve changamoto zetu.
View attachment 2952643