inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Umeme nimeukosa 2006-7 ile intensely,siku hizi hakuna shida ya umeme,mi mtu wa tabora,shida ya maji huko nyuma,Leo maji ya ViktoriaMkuu kama umeishi Tz maisha hayo hauwezi yaita ya upweke maisha ya upweke ni kukosa maji na umeme wa uhakika.
Mtoa mada nina uhakika huujui UCHAWI. Kwanza kabisa uchawi upo na ni uhalisia kabisa usio kuwa na shaka ndani yake.Habari wadau
Binafsi nashangaa sana watu hasa wasomi wenye smartphone wanaoamini story za ushirikina zama hizi
Ukweli ni kwamba ukijipa muda wako kujifunza zaidi jinsi Human physiology na Science of Emotion ilivyo. watajua ukweli mwingi sana wa ubongo wa binadamu unavyofanya kazi na unavyodanganyika
Watu wakijipa muda zaidi na kusoma kuhusu history za uchawi hasa msako wa wachawi (Witch Hunts in the Western World) kwenye karne zilizopita ulikuaje na kwa nini kilisababisha msako huo usitishwe. pia wakasoma kuhusu msako wa wachawi uliotokea marekani pia maarufu kama The Salem Witch Hunt na ilikuaje marekani wakaachana na misako hiyo pia, watajua ukweli kuhusu uchawi.
Kisha wakarudi kwenye youtube na kuangalia video za magic tricks zinavyofanya kazi. watajua waganga na wanaojifanya wachawi wanatumia mbinu gani kuhadaa watu.
Mfano kuna video nyingi za youtube za Sheikh Othman michael akishirikiana na Shehe Jafar kitwana ( mganga mstaafu) wakieleza kila kitu kuhusu uchawi na huku wakionesha na mifano ya jinsi waganga wa kienyeji na wachawi wanavyotapeli watu. yaani hakuna mganga ataeweza kukudanganya ukielewa mbinu zao na mazingaombwe yao.
Nashangaa sana kijana wa zama hizi kuamini ushirikina na kwenda kwa waganga wa kienyeji wakati elimu zinapatikana kwa urahisi sana.
Jamani kwenye internet tusiangalie tu kina mwijaku na diamond. tumieni internet kupata elimu na kuelewa jinsi ya kusolve changamoto zetu.
Mfano wa magonjwa gani hayo ?Gunduzi za kisayansi ndio sababu. magonjwa ambayo waliokuwa wanaamini yanasababishwa na uchawi, waligundua sababu zake kumbe ni za kisayansi.
Sasa hichi ulichokiweka hapa ni mazingaombwe, sasa kuna uchawi wenyewe.Kisha wakarudi kwenye youtube na kuangalia video za magic tricks zinavyofanya kazi. watajua waganga na wanaojifanya wachawi wanatumia mbinu gani kuhadaa watu.
Mfano kuna video nyingi za youtube za Sheikh Othman michael akishirikiana na Shehe Jafar kitwana ( mganga mstaafu) wakieleza kila kitu kuhusu uchawi na huku wakionesha na mifano ya jinsi waganga wa kienyeji na wachawi wanavyotapeli watu. yaani hakuna mganga ataeweza kukudanganya ukielewa mbinu zao na mazingaombwe yao.
Nashangaa sana kijana wa zama hizi kuamini ushirikina na kwenda kwa waganga wa kienyeji wakati elimu zinapatikana kwa urahisi sana.
Mfano wa magonjwa gani hayo ?
Hatuongelei hadithi za kutunga tunaongelea maisha halisiKwa hiyo Wagagagigikoko, Komredi Kipepe, Madenge, Dr. Pimbi Love, Lodilofa, Sukununu, Sokomoko, Zena, Betina, na wengineo, wapo kweli?
Kwenye maisha halisi hakuna uchawi!Hatuongelei hadithi za kutunga tunaongelea maisha halisi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
hapo hapo marekani unapoishi kuna taasisi ya tiba asili na mimea na serikali ya marekani inaithamini kama dhahabu, je wajua kuwa mama wa tiba asili na uganga anatokea hapo hapo marekani?Afrika watu wengi wanaishi dunia ya miaka 500 iliyopita.
Tiba ya asili ya mimea si uchawi.hapo hapo marekani unapoishi kuna taasisi ya tiba asili na mimea na serikali ya marekani inaithamini kama dhahabu, je wajua kuwa mama wa tiba asili na uganga anatokea hapo hapo marekani?
unaelewa nini kuhusu human physiology na human psychology? Je unajua kuwa physiology chimbuko lake liko kwenye uganga wa kienyeji?Human psychology ndio inafanya uone wewe yamekukuta , mimi hayajanikuta
Point yangu ni kuamini uchawi upo hayo ya kusema hatukufanyi kitu ni yako kwani mimi nimekuahidi naweza kukufanya kitu.Wachawi wa uliko ndio watadili na wewe na bila shaka wameshakuchezea vya kutoshaHakuna uchawi wewe.
Nyie wote mnaouamini uchawi hamuwezi kunifanya chochote.
🖕
Hizo habari za uchawi ni udanganyifu mkubwa kuwahi kutokea anza leo chunguza kwa makini sana hizi story zinakuzwa na watu duni ,chunguza tu hata kwenye jamii unayoishi.Kuhusu Salem mbona ya semekana mpaka Leo ukiienda waweza ongea na mzimu wa Tituba sindio uchawi wenyewe
Sawa nime kuelewa vipi kuhusu sauti ya Tituba ni ya nani kule salemHizo habari za uchawi ni udanganyifu mkubwa kuwahi kutokea anza leo chunguza kwa makini sana hizi story zinakuzwa na watu duni ,chunguza tu hata kwenye jamii unayoishi.
wewe unaelewa nini kuhusu akili ya binadamu? Unaweza kutuelezea kidogo ktk mhtizamo yote? Tuanzie hapa kwanzaHuman psychology ndio inafanya uone sijapata matatizo , nenda kasome kuhusu Human psychology utajua mengi kuhusu akili za binadamu na tunavyoamini vitu