min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hadi ww master 😁Uchawi upo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi ww master 😁Uchawi upo
Mkuu soma biblia toka mwanzo hadi ufunuo kwa makin
then ukimaliza urudie kama mara mbili then uje usome huu uzi uloandika
HeheheAta watu wakiwa wanasali kila mtu huwa ana tengeneza illusion ya Mungu wake kichwani kuna wengine wanatengeneza mapaka illusion ya bwana Brayan dicon kichwani.
Dakika 16 zimepita. Mmebakiza kadiri ya dakika 44.Mkuu,
Usipelekwe huku kwetu afrika mashariki Kuna vizika wazima yaani unapigwa vata unakufa unazikwa alafu unaenda kulimishwa mashambani """MSUKULE""
Huku Hadi watu wamewai kuroga tamasha la sinema kijijini kwetu 😊😊😊 😂😅 yaan jenereta linagoma kuwaka watu wakiondoka linawaka wakirudi linagoma kuwaka..
Ndugu kiranga hujawai kuona kimbunga na mauzauza na mang'amu ng'amu ndotoni au usingizi Ni
😅😂😅😊😊
kwa wanaoushiriki upo , hiyo ni imani tena imekatazwa upo kwa wanaoamini.Hadi ww master 😁
Ww upo kama mimi kwangu ilikua ni tanga , nilikaa zaidi ya miezi sita mpaka wakazi wa pale walinihisi mimi ni jini😁Akili ukishaijengea kitu Dylan huwa inaamin hivyo. Kuna nyumba niliwahi panga. Na ikiluwa na miaka kama 8 Haina mpangaji kisa Kila mpangaji alikuwa anaingia Ina mauza uza Sana. Lakin Mimi skuwahi kuwambiea Hilo tatizo wanalodai. Nilikaa kwenye hiyo nyumba Kwa mda wa miaka miwili bila kuyaona hayo mauza uza. Nimekuja kupewa taarifa hiyo mwaka wa pili mwishon na nikawambia Mimi siamin uchawi upo.
Nimekaa pale bila shida yoyote na kama ni kipato kiliongezeka mara 2 yake.
Tangu nilipohama Tena wameingia wapangaji kama wanna wanaacha Kodi zao. Kwa mauza uza wanayodai kukuktana nayo. Ila kwangu ni tofauti.
Hivyo basi ukiijengea akili yako Kuna uchawi na ushirikina itakuwa kweli. Lakini akili yako uspoijengea Kuna uchawi na ushirikina haiwezi kufanya kazi. Na uchawi hautamuwepo
Siku moja mimi nililala ndani nikafunga milango vizuri tu. Ile naamka asubuhi nikakuta milango yote iko waziUtafikiri kweli kumbe ushuzi mtupu
Acha utoto kijana,watu tumeona live mtu anapaa na ungo mchana kweupe,dada mwalimu kaamka kanyolewa sehemu za Siri,we umeshiba na kujifanya umeelimika unakuja kuongea ujinga,we sema uko wapi,u aitwa nani tukishitaki kwa wachawiyaani hakuna watu wanakera kama wanaoamini ushirikina, ni wagumu sana kushaurika
Hao washamba wamekariri makaratasi wanajiona wazungu ...Uchawi upo watu wana imani zao ndio maana kuna neno "uchawi" ,hoa jamaa nawaangalia sana za hoja zao za kitoto .Acha utoto kijana,watu tumeona live mtu anapaa na ungo mchana kweupe,dada mwalimu kaamka kanyolewa sehemu za Siri,we umeshiba na kujifanya umeelimika unakuja kuongea ujinga,we sema uko wapi,u aitwa nani tukishitaki kwa wachawi
Acha utoto kijana,watu tumeona live mtu anapaa na ungo mchana kweupe,dada mwalimu kaamka kanyolewa sehemu za Siri,we umeshiba na kujifanya umeelimika unakuja kuongea ujinga,we sema uko wapi,u aitwa nani tukishitaki kwa wachawi
Ulimwonea wap huyo mwalimu alie nyolewa sehemu za siri 😁Acha utoto kijana,watu tumeona live mtu anapaa na ungo mchana kweupe,dada mwalimu kaamka kanyolewa sehemu za Siri,we umeshiba na kujifanya umeelimika unakuja kuongea ujinga,we sema uko wapi,u aitwa nani tukishitaki kwa wachawi
Alilia kwa afisa elimu sijui ahamishwe siku hiyohiyo,Mara hukoUlimwonea wap huyo mwalimu alie nyolewa sehemu za siri 😁
Utakuwa unaishi bariadi, simiyu. Si ni yule mwalimu aliyekuwa akimkataa mtoto wa chief ?Acha utoto kijana,watu tumeona live mtu anapaa na ungo mchana kweupe,dada mwalimu kaamka kanyolewa sehemu za Siri,we umeshiba na kujifanya umeelimika unakuja kuongea ujinga,we sema uko wapi,u aitwa nani tukishitaki kwa wachawi
😁😁😁 mkuu kwa sababu kuweka id zetu private kama tulivyo amua mwanzoni naomba nikutumie majina ya wazazi wangu ukatafute mtu aniloge.Alilia kwa afisa elimu sijui ahamishwe siku hiyohiyo,Mara huko
Hivi unafikiri kila mtu anataka kwenda kuishi kwenye baridi na maisha ya kibinafsi!?..mi binafsi ziwezi ishi ulaya Wala marekanimtu anapaa na ungo mchana kweupe umemuona wapi ?
kama ni kweli inakuaje hao wachawi wanashindwa kufika marekani na ungo ? Ama wao wachawi hawataki kuishi nchi zilizoendelea ?
ingekuwa kweli wachawi wana uwezo wa kupaa na ungo wazungu wangekuwa wanashangaa kuwaona waafrika wanaongezeka kwa Kasi ya ajabu kwenye nchi zao bila hata kuomba viza (kumbe wamepaa na ungo kwenda kwenye nchi badala ya kutumia njia hatarishi za kuzamia meli)
Je kama alitumia ujanja ili ahamishwe?Alilia kwa afisa elimu sijui ahamishwe siku hiyohiyo,Mara huko
Ntaprove vipi Kama kweli jina lako,we sema nikukute wapi dar,saa ngapi,ili nikupeleke kwa wenyewe,Tena wabishi ndiyo wanawapenda😁😁😁 mkuu kwa sababu kuweka id zetu private kama tulivyo amua mwanzoni naomba nikutumie majina ya wazazi wangu ukatafute mtu aniloge.
Siwezi kusema uongo na nikisema mchawi si ata jua mkuu? ,Siku nikija dar nitakutafuta mkuu pia uje utoe ushuhuda apa.Ntaprove vipi Kama kweli jina lako,we sema nikukute wapi dar,saa ngapi,ili nikupeleke kwa wenyewe,Tena wabishi ndiyo wanawapenda