Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Vitabu vya dini vyenyewe vimejaa contradictions nikiwawekea hapa hawawezi kuzipangua.Pia wanaogopa kuacha kuamini uchawi kwa sababu kwenye vitabu vya dini uchawi umetajwa😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitabu vya dini vyenyewe vimejaa contradictions nikiwawekea hapa hawawezi kuzipangua.Pia wanaogopa kuacha kuamini uchawi kwa sababu kwenye vitabu vya dini uchawi umetajwa😁
😅😅😅Ajaribu kuangalia hata America's got talent zile ni tricks kwa ajili ya burudani.Hapa ndo napoona wanachanganya mazingaombwe na uchawi
Wewe hujui hata uthibitisho ni nini.Haya nathibitisha niliroga na kurogwa pia basi conclusion uchawi upo
Vitabu vya dini vyenyewe vimejaa contradictions nikiwawekea hapa hawawezi kuzipangua.
Lakini je, hayo maneno machache kweli yanatafanya kazi na ntakua superhero?Hiyo ni michezo ya akili tu kuna namna ata mimi naweza kukutengeneza ukawa super hero kwa maneno machache tu .
Pia wanaogopa kuacha kuamini uchawi kwa sababu kwenye vitabu vya dini uchawi umetajwa😁
Sasa si ndo uthibitisho ulitaka nipige picha au nilete tena maneno kama nyie?? Maana hata na nyie hamjaleta uthibitisho wowote zaidi tu ya manenoWewe hujui hata uthibitisho ni nini.
Sitaki shombo.
Ukileta shombo nakupeleka ignore list kwa kushusha viwango vya mazungumzo.
Straight to ignore list.Sasa si ndo uthibitisho ulitaka nipige picha au nilete tena maneno kama nyie?? Maana hata na nyie hamjaleta uthibitisho wowote zaidi tu ya maneno
Umepigaje hapoStraight to ignore list.
Kuanzia hapa sitaona unachoandika.
Sure.huo ndio ukweli. na hata wazungu zamani walikuwa wanafanya Witch Hunt sababu umetajwa kwenye vitabu vya dini. zamani Ulaya na marekani sheria za kanisa ndizo zilikuwa zinatumika kuendesha Taifa na kuhukumu watu. kama nchi za kiislamu zinavyotumia Quran kuhukumu watu leo hii.
wazungu walipoacha tu kutumia sheria za kanisa baada ya kuelimika na kufanya gunduzi nyingi za kisayansi, ndipo Witch hunt zikakatazwa. waligundua biblia na dini zimejaaa upuuzi
kitabu kilichoandika nyoka anaongea na binadamu kina upuuzi mwingi . hakipaswi kutumika kama sheria
Uchawi upo hata uende kwa wazungu wanaamini pasingekuwa na movies za kichawi.
Namaanisha wazungu asilia sio mbongo unayeishi kwa wazungu.
Ukishaanza kuomba namba umekubali uchawi haupo.Naomba nipe namba yako nikupeleke kwenye nyumba moja ipo mbagala. Utalala hapo siku moja tu alafu utakuja kutoa humu ushuhuda utakacho kikuta hapo. Kodi ya nyumba tutakulipia wenyewe.
The world is mental....hata huo uchawi ni kucheza tu na manipulation za frequency za kiroho, sasa yakimkuta asielewa nini kinaendelea ndo atasema uchawi,,,ni kama dini tu piaAkili ya binadamu ina uwezo wa kutengeneza chochote , shetani ,Mungu, uchawi na chochote kikawa kama kweli, na kikakupata , kinachohitajika apo ni imani na wazo la kuamni kutokea ndani , watu wengi wanacheza kwenye mitego ya frequency za kuamin uchawi bila kujijua na mwisho wa siku wana umba kushindwa mwisho wa siku wanaua ile hali ya kushinda ndani mwao .
Hizo dawa zinaamsha ile nguvu ya kufanya unachokita kupitia iman yako nina weza kukupaka ata mavi ya kuku tu na ukanikubali huu uhuni nilisha ufanya mkuu.Lakini je, hayo maneno machache kweli yanatafanya kazi na ntakua superhero?
Kwa sababu kuna dawa tunaona watu wanatumia za kupata wanawake na kwa namna furani unaona kweli zinafanya kazi
Basi najitolea kukupeleka mwenyewe hapoUkishaanza kuomba namba umekubali uchawi haupo.
Vinginevyo ungeipata namba kwa uchawi ukampeleka huyo mtu huko Mbagala kwa uchawi pia.
Nipeleke kwa uchawi, nakupa saa moja ukamilisje zoezi hili.Basi najitolea kukupeleka mwenyewe hapo
Duh! Haya mambo yanachanganya kiukweli