Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

Mkuu soma biblia toka mwanzo hadi ufunuo kwa makin
then ukimaliza urudie kama mara mbili then uje usome huu uzi uloandika

unataka niisome biblia ambayo imeandika nyoka anaongea na binadamu halafu niiamini

wewe kwa akili zako unaamini nyoka anaweza kuongea na binadamu ?
 
Mkuu,
Usipelekwe huku kwetu afrika mashariki Kuna vizika wazima yaani unapigwa vata unakufa unazikwa alafu unaenda kulimishwa mashambani """MSUKULE""

Huku Hadi watu wamewai kuroga tamasha la sinema kijijini kwetu 😊😊😊 😂😅 yaan jenereta linagoma kuwaka watu wakiondoka linawaka wakirudi linagoma kuwaka..

Ndugu kiranga hujawai kuona kimbunga na mauzauza na mang'amu ng'amu ndotoni au usingizi Ni
😅😂😅😊😊
Dakika 16 zimepita. Mmebakiza kadiri ya dakika 44.

"When you have to shoot, shoot. Don't talk."

View: https://youtu.be/C0aWrDcM988?si=d-f7bmtZS9mYis8E
 
Hadi ww master 😁
kwa wanaoushiriki upo , hiyo ni imani tena imekatazwa upo kwa wanaoamini.

jamaa kasema kwao haupo sio kwamba dunia znima. kwa mantiki hiyo upo sehemu nyingine japo mimi siwezi kuamini ila upo
 
Akili ukishaijengea kitu Dylan huwa inaamin hivyo. Kuna nyumba niliwahi panga. Na ikiluwa na miaka kama 8 Haina mpangaji kisa Kila mpangaji alikuwa anaingia Ina mauza uza Sana. Lakin Mimi skuwahi kuwambiea Hilo tatizo wanalodai. Nilikaa kwenye hiyo nyumba Kwa mda wa miaka miwili bila kuyaona hayo mauza uza. Nimekuja kupewa taarifa hiyo mwaka wa pili mwishon na nikawambia Mimi siamin uchawi upo.

Nimekaa pale bila shida yoyote na kama ni kipato kiliongezeka mara 2 yake.

Tangu nilipohama Tena wameingia wapangaji kama wanna wanaacha Kodi zao. Kwa mauza uza wanayodai kukuktana nayo. Ila kwangu ni tofauti.

Hivyo basi ukiijengea akili yako Kuna uchawi na ushirikina itakuwa kweli. Lakini akili yako uspoijengea Kuna uchawi na ushirikina haiwezi kufanya kazi. Na uchawi hautamuwepo
Ww upo kama mimi kwangu ilikua ni tanga , nilikaa zaidi ya miezi sita mpaka wakazi wa pale walinihisi mimi ni jini😁
 
yaani hakuna watu wanakera kama wanaoamini ushirikina, ni wagumu sana kushaurika
Acha utoto kijana,watu tumeona live mtu anapaa na ungo mchana kweupe,dada mwalimu kaamka kanyolewa sehemu za Siri,we umeshiba na kujifanya umeelimika unakuja kuongea ujinga,we sema uko wapi,u aitwa nani tukishitaki kwa wachawi
 
Hao washamba wamekariri makaratasi wanajiona wazungu ...Uchawi upo watu wana imani zao ndio maana kuna neno "uchawi" ,hoa jamaa nawaangalia sana za hoja zao za kitoto .
 
Acha utoto kijana,watu tumeona live mtu anapaa na ungo mchana kweupe,dada mwalimu kaamka kanyolewa sehemu za Siri,we umeshiba na kujifanya umeelimika unakuja kuongea ujinga,we sema uko wapi,u aitwa nani tukishitaki kwa wachawi

mtu anapaa na ungo mchana kweupe umemuona wapi ?

kama ni kweli inakuaje hao wachawi wanashindwa kufika marekani na ungo ? Ama wao wachawi hawataki kuishi nchi zilizoendelea ?

ingekuwa kweli wachawi wana uwezo wa kupaa na ungo wazungu wangekuwa wanashangaa kuwaona waafrika wanaongezeka kwa Kasi ya ajabu kwenye nchi zao bila hata kuomba viza (kumbe wamepaa na ungo kwenda kwenye nchi badala ya kutumia njia hatarishi za kuzamia meli)
 
Ulimwonea wap huyo mwalimu alie nyolewa sehemu za siri 😁
 
Kwa sababu mtaani kuna visa vingi sana vya uchawi kuliko miujiza ya nguvu za Mungu waumini wengi sana wanaushadadia uchawi kama uthibitisho wa uwepo wa Mungu.
 
Acha utoto kijana,watu tumeona live mtu anapaa na ungo mchana kweupe,dada mwalimu kaamka kanyolewa sehemu za Siri,we umeshiba na kujifanya umeelimika unakuja kuongea ujinga,we sema uko wapi,u aitwa nani tukishitaki kwa wachawi
Utakuwa unaishi bariadi, simiyu. Si ni yule mwalimu aliyekuwa akimkataa mtoto wa chief ?
 
Alilia kwa afisa elimu sijui ahamishwe siku hiyohiyo,Mara huko
😁😁😁 mkuu kwa sababu kuweka id zetu private kama tulivyo amua mwanzoni naomba nikutumie majina ya wazazi wangu ukatafute mtu aniloge.
 
mtu anapaa na ungo mchana kweupe umemuona wapi ?

kama ni kweli inakuaje hao wachawi wanashindwa kufika marekani na ungo ? Ama wao wachawi hawataki kuishi nchi zilizoendelea ?

ingekuwa kweli wachawi wana uwezo wa kupaa na ungo wazungu wangekuwa wanashangaa kuwaona waafrika wanaongezeka kwa Kasi ya ajabu kwenye nchi zao bila hata kuomba viza (kumbe wamepaa na ungo kwenda kwenye nchi badala ya kutumia njia hatarishi za kuzamia meli)
Hivi unafikiri kila mtu anataka kwenda kuishi kwenye baridi na maisha ya kibinafsi!?..mi binafsi ziwezi ishi ulaya Wala marekani
 
Hata biblia inatambua uchawi.....ila kama hayajakukuta pita kule
 
Ntaprove vipi Kama kweli jina lako,we sema nikukute wapi dar,saa ngapi,ili nikupeleke kwa wenyewe,Tena wabishi ndiyo wanawapenda
Siwezi kusema uongo na nikisema mchawi si ata jua mkuu? ,Siku nikija dar nitakutafuta mkuu pia uje utoe ushuhuda apa.
 
Back
Top Bottom