Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

Wanafanyaje sherehe ya kitu kisichokuwepo sasa.
Uchawi ni matokeo ya nguvu zilizo nje akili zetu.
Kwani mimi nikianzisha sherehe ya kusherehekea "pembetatu ambayo pia ni duara", hilo litamaanisha hiyo "pembetatu ambayo ni duara" itakuwapo?

Hizo nguvu zilizo nje ya akili zetu unajuaje zipo kweli na si hadithi tu?
 
Kwani mimi nikianzisha sherehe ya kusherehekea "pembetatu ambayo pia ni duara", hilo litamaanisha hiyo "pembetatu ambayo ni duara" itakuwapo?

Hizo nguvu zilizo nje ya akili zetu unajuaje zipo kweli na si hadithi tu?
Huwezi sherekia kitu usichojua maana yake.
Inaweza ikawa pembetatu lakini kuna Conspiracy ndani mwake kuwahadaa wengine
 
Huwezi sherekia kitu usichojua maana yake.
Inaweza ikawa pembetatu lakini kuna Conspiracy ndani mwake kuwahadaa wengine
Kusherehekea kitu hakumaanishi kipo, kunamaanisha unasheherekea kitu.

Usichoelewa nini hapo?

Kuna maelfu ya miungu, wengi wanapingana logically kwa namna ambayo wote hawawezi kuwapo. Maana yake wote hawawezi kuwapo.

Lakini miungu wote hao wanasherehekewa.

Mpaka hapo hujaelewa tu kuwa kitu kinaweza kusherehekewa bila kuwapo?
 
Wanafanyaje sherehe ya kitu kisichokuwepo sasa.
Uchawi ni matokeo ya nguvu zilizo nje akili zetu.
Mimi kila mwaka [kuanzia 1999] nafanya sherehe ya mimi kuwa bilionea.

Huwa naalika walimbwende 25. Kila mmoja wao ni lazima aje kavaa bikini na Sergio Rossi high heels 👠.

Huwa naleta na DJ. Naleta mpishi. Naleta na mtengeneza vinywaji.

Weekend nzima ni mwendo wa kusherehekea billionaire status yangu.

Sina hata doła 1,000.00 kwenye akaunti yangu ya benki.

Ila mimi ni $ billionaire.
 
Kwani we uoni cxm kila mwaka wanachoma Kodi zetu kuukimbiza ule moto wa kichawi.
Au kwanini mikoa iliyowafanyika matambiko ya kichawi kuitambikia nchi ni masikini Haina maendeleo au imedumaa.Pwani,Tanga,Tabora,lindi.
Huo moto ndo uchawi? Ili iweje sasa?
 
Mi siaminigi matakataka kama hayo,Kuna kipindi nilikua napiga mbishe zangu monduli huko hata night Kali naingia makaburini nachoma shada zangu!!
Amna Cha jini, shetani,wala mauchawi
 
Ukisoma,"Coming out by night. Set" nadhani ndivyo kinavyoitwa kile kitabu,utaona "Wanga" wanatajwa.

Kaka mkubwa heshima yako.

Shukurani kwa kutupa reference.

Kuna vitabu vingi vinataja uongo mwingi tu. Kuna hadithi za uongo zimehalalishwa kabisa, fiction. Kuna watu wanaandika non fiction kama biographies zina uongo mwingi.

Professor Yuval Noah Harari muandishi wa "Sapiens: A Brief History of Humankind" na "Homo Deus : A Brief History of Tomorrow", among other books, ameandika sana kuhusu kitu kinaitwa "manufactured reality". Jinsi watu wanavyoweza kujitungia reality yao ya uongo na kuikubali kama ukweli.

Kuna psychology na sociology kubwa sana ambayo inaweza kuwa na maana kiutamaduni na hata practical tu, ambayo inaweza kuelezwa kwa shorthand ya "wanga" na "uchawi" kwa sababu hizo ndizo "mental models" ambazo watu wa sehemu fulani wanaweza kuzielewa tu.

The story is not factually correct, but it is useful and good because it serves a certain purpose.

Nitakupa mfano mmoja niliusoma katika kitabu cha Jean Paul Sartre. Alikuwa anaelezea mfano wa kijiji kimoja kikichokuwa na kisima cha maji. Kisima hicho kilikuwa na matatizo, maji yake yalikuwa na sumu. Sumu inaua. Sasa, wale viongozi wa kijiji hawajui sayansi, hawajui kemia, hawawezi kuielezea sumu ile factually kwamba kisima hiki kina arsenic water, dangerous levels of arsen, mkinywa maji yake mtaugua cancer na kufa.

Lakini, waliweza kuona watu wanaokunywa maji ya kisima wanaumwa, just by simple observation.

Viongozi wale wakaja na maelezo kuwa kisima kile kina majini. Ukinywa maji yake utaumwa na kufa. Watu wanaelewa na kuogopa majini, hawaelewi habari za arsenic water. Hivyo, kuwakataza watu wasinywe maji ya kisima kwa story ya majini kunakuwa effective zaidi kuliko kusema habari za kufundisha somo la kemia la arsen ni nini na inasababishaje matatizo ikipatikana katika maji.

Kwa hivyo viongozi wa kijiji wakaenda na story ya majini. Story inayokubalika. Story inayoeleweka.

Na mpaka leo, habari nyingi za uchawi, supernatural, Mungu, dini, ni kama hivyo, ni habari za kutupa majibu pale ambapo hatukuwa na majibu. Tukipata majibu tunaziacha.

Ukimsoma Dr. Paul Kugel (Harry M. Starr Professor Emeritus of Classical and Modern Hebrew Literature at Harvard) katika kitabu chake "How to Read The Bible: A Guide to Scripture Then and Now" ameelezea vizuri habari za Bible 8livyobadikishwa badikishwa iki ku solve matatizo ya Hebrews. Na hizi stories za uchawi kwa kiasi kikubwa ni sehemu ya stories za dini tu.

Leo North America huku kuna solar eclipse. Tunajiandaa kutazama kupatwa kwa jua.

Miaka 500 iliyopita huku kuna sehemu tukio hili lilikuwa la kuogopesha sana, walilipa umuhimu wa ki supernatural sana, wengine mpaka wakachinja watu wao katika humannsacrifice rituals, wakiamini kuwa jua lilikuwa linataka kuzimika na hizo human sacrifices zitakuwa sadaka ya kuli appease jua lisizimike. Leo tumejua sayansi ya nyendo za jua, mwezi na dunia, na tunaweza kutabiri kupatwa kwa jua kwa kupatia sana hata kwa maelfu ya miaka yajayo, tukajua mpaka mji ganinutaona totality na mji ganiutakuwa nje ya totality kwa kiasi gani.

Kwa hivyo, hizo habari za uchawi, wanga etc, zilikuwa na purpise yake wakati hatujapata sayansi nzuri ya kuelezea mambo.

Sasa hivi tumepata mfumo mzuri wa kufuatilia mambo kisayansi, tuyafuatikie kisayansi. Tuondokane na habari za uchawi ambazo kwa kweki zimepitwa na wakati dunia hii.
 
ila kwel, kuna mwaka niliendaga morogoro kuna sehem kuna nyumba ya mganga wakawa wanapiga ngoma na mvua ikanyesha kwenye boma la uyo mganga tu tena mvua kubwa kabisa nahisi sio uchawi ilikuwa ni mambo ya kijiografia wingu kutua juu ya lile boma pekeyake, kuna wale walikuwa wakiamka asubuh wanajikuta hawana miguu yaan kama ilikatwa kitambo na wameshapona, alianza baba wakafuata watoto, nahis ilikuwa ni mambo ya kibaiolojia ya mwili tu na sio uchawi. mtoto wa jirani yangu aliangukiwa na mjusi usoni akafariki on spot na adi tunamuandaa kwenda kumzika siku ya pili kutoka mochwali damu zilikuwa zinamtoka puani na mdomoni mixa machozi yaan mwili tumeutoa kwenye friji lakin wamoto yaan barid la usiku mzima ndan ya friji ila yey wamoto lakin mwili kuanzia moyo adi ubongo vimeshakufa, yaan maiti inalia nahis ni mambo ya baiologia tu, tusipende kuamini uchawi jaman ivi vitu vinatokeaga kisayansi inajulikana wazi kabisa
 
Back
Top Bottom