GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Dudu Baya umemaliza kila Kitu. Tuliobahatika kutembea kidogo hapa na pale nchi kadhaa (Team Passport kujaa Mihuri ya Uhamiaji) tunakuunga mkono kwa 99.9%.
Nilikuwa najiuliza sana tu kwanini ukienda Uingereza, Marekani, Ufaransa na Ubelgiji unawakuta mno Raia wa Nigeria (Wapopo), Congo DR, Cameroon na Ghana tofauti na Watanzania ila nilipopata majibu ya Kueleweka wala simkatalii MSEMA UKWELI (MCHANAJI) Dudu Baya.
Kuleni Chuma hiki......... Kudadadeki.