Dudu Baya umemaliza kila Kitu. Tuliobahatika kutembea kidogo hapa na pale nchi kadhaa (Team Passport kujaa Mihuri ya Uhamiaji) tunakuunga mkono kwa 99.9%.
Nilikuwa najiuliza sana tu kwanini ukienda Uingereza, Marekani, Ufaransa na Ubelgiji unawakuta mno Raia wa Nigeria (Wapopo), Congo DR, Cameroon na Ghana tofauti na Watanzania ila nilipopata majibu ya Kueleweka wala simkatalii MSEMA UKWELI (MCHANAJI) Dudu Baya.
Yatizo wengi waliopo huko ni first generations halafu tabia na circles zao za kibongo bado wamegandamana nazo. Badala ya kupambana , wao wanadhani wamesha win sababu wanaj8fananisha na wale waliowaacha bongo.