Wale wabishi wajue tu kwamba ukipata Corona unawekwa sehemu ya kutengwa na kupewa chakula.
Hapo ni wewe na Mungu wako wale viongozi wa dini ambao walikwambia usiache kwenda kule kusaliwa watakushauri ujiombee mwenyewe, wale manabii hawatakuja kukuona wale mashehe wa mskitini watakukimbia kama watu wengine.
Fanya jitihada zako binafsi za kusaidia wewe na jamii yako usisubiri serikali na maagizo. Mpaka upate maagizo ni siku 25 bada ya mtu kuambukizwa!
T.b Joshua alisema March 27 mvua itaondoa Corona!!