Ukiunganisha dot ndo utaelewa: Alitolewa Kakoko bandarini akatolewa Chamriho ujenzi, akatolewa Kalemani Nishati n.k

Kwa hiyo hao niliowataja pale ni wasukuma wote? Usiwe unaendeshwa na mihemko ya propaganda hakuna kitu kinaitwa sukuma gang! Ila msoga ipo na inafanya ufisadi ma ujinga ndani ya nchi hii sana tu!
Kama unaamini kuwa hakuna Team mwendazake au team sukumagang basi amini pia hakuna team msoga ila kuna team Tanzania.
 
Unataka point ipi? Unamuona mwanamke mja mzito unamuuliza ushawahi kufanya mapenzi? Utakuwa unaakili au matope kichani?

mfano wako hauendani na ulichokieleza....mkataba wa Bandari ya Bagamoyo unao...?...

Kuwatoa watu kwenye nafasi zao ni jambo la kawaida na utamaduni wetu miaka yote...je hawa ni wakwanza kutolewa kwenye nyadhifa zao?
 
Kama unaamini kuwa hakuna Team mwendazake au team sukumagang basi amini pia hakuna team msoga ila kuna team Tanzania.
Tatizo lako hauko na mawazo huru uko hapa kutetea watu! Mi nazungumzia mambo bayana ambayo taifa letu linakabiliwa nayo nani hatari kwa uchumi wa miaka mingi ijayo wewe unataka tuvurugane hapa na mimi siko tayari jadili maada hapo juu basi!
 
mfano wako hauendani na ulichokieleza....mkataba wa Bandari ya Bagamoyo unao...?...

Kuwatoa watu kwenye nafasi zao ni jambo la kawaida na utamaduni wetu miaka yote...je hawa ni wakwanza kutolewa kwenye nyadhifa zao?
Kwa hiyo unafikiri aliyefanya hayo mabadiliko hana lake kichwani? Ujue huyo mama ni bendera kifuata upepo!
 
Jina lenyewe tu sumbulungu, endeleeni kuvumilia na msisahau mama ndio kwanza ana miezi 8.
Kwa hiyo jina langu imekuwa nongwa sio! Mbona watu mna mawazo ya kibaguzi sana siku hizi?
 
speculations, no ground evidences.
 
mfano wako hauendani na ulichokieleza....mkataba wa Bandari ya Bagamoyo unao...?...

Kuwatoa watu kwenye nafasi zao ni jambo la kawaida na utamaduni wetu miaka yote...je hawa ni wakwanza kutolewa kwenye nyadhifa zao?
Sasa kwanini watolewe wizara ya nishati na madini na wizara ya ujenzi tu
 
Kila kiongozi ana haki ya kupanga watu ambao anaweza kufanya nao kazi. Wakati wa awamu ya mwendazake tuliona Wizara Muhimu zikishikiliwa na watu wa ukanda mmoja.
 
Tatizo lako hauko na mawazo huru uko hapa kutetea watu! Mi nazungumzia mambo bayana ambayo taifa letu linakabiliwa nayo nani hatari kwa uchumi wa miaka mingi ijayo wewe unataka tuvurugane hapa na mimi siko tayari jadili maada hapo juu basi!
Huna hoja mkuu, nchi haiwezi kuendeshwa kwa kutegemea mtu. Rais magufuli alipoingia aliondoa watu wengi kwa kadri alivyoona inafaa na nchi ikasonga na maisha yakaendelea. Vivyo hivyo kwa Mwinyi, Mkapa na Kikwete. So muache naye Rais Samia aondoe asiowataka na aweke anaowataka. Kea kufanya hivyo hajavunja kifungu chochote cha Katiba. Lete hoja zinazoonyesha uvunjifu wa Katiba au sheria yoyote ile ndipo tutaona una hoja.
Nchi hii yamefanyika mengi tu kabla ya hata hao unaohisi vichwa hawajaenda mjini. Huo umeme wa Gesi kwa around asilimia 60 now uliletwa na Kalemani? Hizo barabara na madaraja yalijengwa yote enzi za Chamriho? Wacha blabla. Weka hoja zenye ushahidi sio habari za kuungaunga za vigenge vya mbege na wanzuki na ulanzi. Weka mkataba wa Bagamoyo uliosainiwa hapa.
 
Kwa hiyo unafikiri aliyefanya hayo mabadiliko hana lake kichwani? Ujue huyo mama ni bendera kifuata upepo!

hapo ndipo ninapokuja na kukwambia hebu dadavua strong points ili hoja yako ilete maana na kuclick kwenye vichwa vya watu...

Unapoanza kusema unafikiri ooooh unajua, tayari ni vitu vya kufikirika ambavyo tunaweza pia kufikiri vinginevyo kama issue ni kufukiri tu....kufikiri kuna negative na positive...
 
Matagaaaa....amelaaniwa amtegemeaye mwadamu ...
 
Maelezo mengi lakini pumba tupu, unasumbuliwa na usukuma gang
 
Hapa ndipo utaipenda katiba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…