Ukiunganisha dot ndo utaelewa: Alitolewa Kakoko bandarini akatolewa Chamriho ujenzi, akatolewa Kalemani Nishati n.k

Spana zitaendelea kama kawaida dhidi ya uhuni wowote utakaofanyika!
We chekelea per diem za safari ila mama yenu lazma aeleweshwe
Hahahahaha, kosoeni ila kwa staha...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Mfalme wa chato kukosolewa ndio alikuwa hataki kabisa....Kaeni kwa kutulia mama ana miezi nane(8) tu..
 
Sisi outsider inatupa shida kupata undani au ukweli kwa hizo serikali za CCM.
Kusema Kalimani na yule mwingine wa madini ni bora kuliko wengine kushika nyadhifa hizo siyo kweli they could fit to be junior ministers in respective ministries.
Tanzania haijaishiwa dream team za uongozi wa taifa, shida ni ubinafusi na woga wa kumteua mtu asiye mwoga.
Tukija kwa dogo January Makamba sisi wa nje ya duara hatujui ukweli au uwongo wa wanaomtuhumu, lakini ni waziri January alieleta matumaini ya kujenga mtambo mama kuzalisha LNG kuliko waziri yeyote .
Uzuri wa mambo leo kwa serikali ya SSH kila kitu kinaanikwa hakuna siri.Viva Mama yetu.
 
Hahahahaha, kosoeni ila kwa staha...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Mfalme wa chato kukosolewa ndio alikuwa hataki kabisa....Kaeni kwa kutulia mama ana miezi nane(8) tu..
Kama staha ambazo mlizitumia kumkosoa hayati hata akiwa kaburini tutazitumia dhidi ya mama vile vile! Kuleni azam embe mtulie
 
Kama staha ambazo mlizitumia kumkosoa hayati hata akiwa kaburini tutazitumia dhidi ya mama vile vile! Kuleni azam embe mtulie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kaeni kwa kutulia.. Mama anendelea pale Hayati alipoishia , msimwekee kiwingu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kaeni kwa kutulia.. Mama anendelea pale Hayati alipoishia , msimwekee kiwingu.
Ni kweli kabisa maana hayati alituacha na tozo
 
Umeongea points za maana sana bro.
Tumejaa tuhuma ambazo hazina ushahidi.
Watu wanawaliliia Mawaziri furani kama vile Tanzania imeishiwa wachapa kazi.
Kila mtanzania ana ndoto za kutumikia nchi yake bhana.
 
Kwahiyo wewe huna Ndugu, Rafiki ambae unadhani angeweza kupata nafasi hizo maana unaona Bora hata ufe kabisa ili wengine wasipate nafasi
 
Mama anadanganywa kindezi sana.

Matokeo ya Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo utakuja kuwa sawa kile kinachotokea baada ya kumaliza ujenzi wa International Airport kule kijijini Chato. Time will tell.
 
Hakuna anayeota hapa! Akili kubwa ndo inaweza kung'amua haya mambo akili kisoda kajadili mapenzi!
Sijui huwa mnawaza kwa kutumia nini, yaani kaingia rais mpya, ambaye naye anataka kutengeneza legacy yake halafu wewe unampangia wa kufanya naye kazi?? Yaani unalazimisha aendelee na watendaji wa JPM??
 
Waziri Mwambe amefikia hatua yakuwadanganya watanzania kuwa hakuna mkataba wowote uliowahi kusainiwa!!
Wapinzani wametuchelewesha sana. Au nasema UONGO ndugu zangu jamani?
Hapa kazi tu = uongo
Serikali ya viwanda =uongo
Milion 50 kila kijiji= uongo
Yote yasemwayo huko lumumba ni uongo.
Ccm ni ileile oh ni ile ileeeeeeeeeee
 
Bila shaka wewe ni wale wasioamini kwamba magufuli alifariki kwa Corona???? Ulitaka mama maendeleo na watendaji wa magufuli ili iweje sasa???
 
Kwa hiyo hao niliowataja pale ni wasukuma wote? Usiwe unaendeshwa na mihemko ya propaganda hakuna kitu kinaitwa sukuma gang! Ila msoga ipo na inafanya ufisadi ma ujinga ndani ya nchi hii sana tu!
Mwanzo nilikuwa nataka kushawishika na uzalendo kwa hoja yako ila ulivyo "comment" hapa, basi nimeamini we ni sgang kweli maana unakataa kuwa sgang haipo lakini wakati huo unataka sisi tusio mashabiki wa makundi hayo pia tuamani kuwa kuna msogang inayofanya kazi. Kama Ndiyo hivyo, basi msogang itakuwa imechukua nafasi ya sgang inayosadikiwa kupukutishwa japo sisi hatuyaamini haya.
 
Tunawaambia wekeni mkataba hapa tuuone, mnatuwekea picha wakisaini mkataba, what a fack is? Mikataba ipo ya namna nyingi, bahati mbaya kwa kiswahili yote huitwa Mikataba.
Dah....mbona unajichanganya...ishu ilikuwa mkataba umesainiwa au bado 🀣🀣🀣🀭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…