jamaikatz
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 400
- 1,429
Ukikaa na baba yako huwezi kujua makosa ya mama yako wala hawezi kukuambia makos a ya mama yako na kasoro zake
Ila ukikaa na mama yako utajua makosa ya baba yako na utajua kasoro za baba yako
Sasa ukikua ukawa baba ,ama siku ukaitwa baba , utaelewa kwanini baba alikuwa kimya hakutaka kukuambia makosa ya mama yako.