Wababa hua hatuna tabia za kujipendekeza au kutaka mtupende zaidi ya Mama zenu,
Wewe mwenyewe kwa akili yako utakuja tu kutambua mwenyewe,
Hua tupo busy zaidi kuhakikisha mnapata mahitaji yenu yote muhimu pamoja na huyo Mama yenu,Wanaume huangalia mambo makubwa zaidi kwenye familia kuliko hayo maneno ya fitina yasiyojenga bali kubomoa,
Mwanaume ndiye kiongozi wa nyumba,so hawezi kuleta maneno yatakayo sababisha mifarakano,mwanaume hujikita zaidi kuijenga familia yake ili ishikamane.
Nieleweke kua,hapa nimemuongelea Mwanaume anayejitambua.