Ukiwa Boss kazi inapotokea wafanyakazi hawana maelewano

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
Ukiwa Boss kazi unakuta wafanyakazi wako hawapendani halafu wote wanaumuhimu kwako , ukiona mtu kaisimamisha biashara au kampuni ikasimama vizuri mpe ratings zake za kutosha . Inapotokea wafanyakazi wako hawapendani inakupa ugumu umuache nani ubaki na nani wakati wote wanaumuhimu kwako
 
Inategemea hapo hawapatani kinamna gani? Je hawapati kwakuwa Kila mmoja anataka awe Bora kwenye kazi kumzidi mwenzake au vp?
 
Ukiwa Boss kazi unakuta wafanyakazi wako hawapendani halafu wote wanaumuhimu kwako , ukiona mtu kaisimamisha biashara au kampuni ikasimama vizuri mpe ratings zake za kutosha . Inapotokea wafanyakazi wako hawapendani inakupa ugumu umuache nani ubaki na nani wakati wote wanaumuhimu kwako
Kuna bosi kazi yake kuwagombanisha wafanyakazi wake na si kuwaunganisha wawe pamoja! Anachukua ya uku anapeleka kule ili mradi watu wasielewane!!
 
Kuna sehemu tulikua tunafanya kazi. Mm nilikua interns na nilikuta mademu wa2. Kazi ilikua ni ya mauzo, boss akaanzisha utaratibu wa kutoa zawadi kwa best seller, Nikamwambia hii idea itaua teamwork na kuanzisha visirani kwa hawa wadada akakaza.

Haikupita hata miezi miwili ukweli ukaja kujiziilisha, Utengano kwa wafanyakazi ukawa mkubwa sana.

Kiukweli kua boss ni changamoto sana.
 
Back
Top Bottom