Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Inategemea hapo hawapatani kinamna gani? Je hawapati kwakuwa Kila mmoja anataka awe Bora kwenye kazi kumzidi mwenzake au vp?Ukiwa Boss kazi unakuta wafanyakazi wako hawapendani halafu wote wanaumuhimu kwako , ukiona mtu kaisimamisha biashara au kampuni ikasimama vizuri mpe ratings zake za kutosha . Inapotokea wafanyakazi wako hawapendani inakupa ugumu umuache nani ubaki na nani wakati wote wanaumuhimu kwako
Wengine inatokea tu hawapendaniInategemea hapo hawapatani kinamna gani? Je hawapati kwakuwa Kila mmoja anataka awe Bora kwenye kazi kumzidi mwenzake au vp?
Ikitokea hivo hao unawapa majukumu tofautiWengine inatokea tu hawapendani
Sawa mkuu ni ushauri mzuriIkitokea hivo hao unawapa majukumu tofauti
hilo neno mkuuUnatakiwa uwe na msimamo.... Alaka chukua wa fild miezi sita sita.. Training them...Ondoa virus wote mmmoja baada ya mwengine...
Kampuni itaingia kwenye hasara lkn itasinga mbele..
Kuna bosi kazi yake kuwagombanisha wafanyakazi wake na si kuwaunganisha wawe pamoja! Anachukua ya uku anapeleka kule ili mradi watu wasielewane!!Ukiwa Boss kazi unakuta wafanyakazi wako hawapendani halafu wote wanaumuhimu kwako , ukiona mtu kaisimamisha biashara au kampuni ikasimama vizuri mpe ratings zake za kutosha . Inapotokea wafanyakazi wako hawapendani inakupa ugumu umuache nani ubaki na nani wakati wote wanaumuhimu kwako
Huyo Hana sifa za ubossKuna bosi kazi yake kuwagombanisha wafanyakazi wake na si kuwaunganisha wawe pamoja! Anachukua ya uku anapeleka kule ili mradi watu wasielewane!!
Huyo anajifelisha mwenyeweKuna bosi kazi yake kuwagombanisha wafanyakazi wake na si kuwaunganisha wawe pamoja! Anachukua ya uku anapeleka kule ili mradi watu wasielewane!!
KabisaHuyo Hana sifa za uboss
Kabisa! Huwa sielewagi lengo lake!Huyo Hana sifa za uboss