Tormenter
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 427
- 808
Siku nikiwa boss, nitakumbuka kuwa watu wana maisha nje ya ofisi, nitajua kuwa mfanyakazi mwenye huzuni hawezi kutoa furaha kazini.
Siku nikiwa boss, sitaamini kuwa vitisho huongeza tija, badala yake, nitawaongoza kwa kuhamasisha na kusikiliza.
Siku nikiwa boss, nitajenga mazingira ya kazi yenye utu, ambako makosa ni fursa ya kujifunza, si sababu ya kuonewa.
Siku nikiwa boss, nitatengeneza timu, si vibarua, nitachochea ushirikiano, si ushindani wa kuangushana.
Siku nikiwa boss, sitahesabu saa, nitahesabu thamani ya kazi, nitathamini juhudi kuliko muonekano.
Siku nikiwa boss nitatengeneza binadamu wa kunisaidia majukumu, sio machawa wa kuniletea umbea na majungu.
Kwa kifupi, siku nikiwa boss, nitakuwa kiongozi sio mtawala.
Mmonaga kundungu, kumeyo mwanja✍️✍️
Poor Brain
realMamy
zerominus10
Mshana Jr
@everyone