Ukiwa boss, usilewe na suti. Kesho ni jana ya keshokutwa yenye majuto na gharika

Or you can skip all that na kuhakikisha watu wanalipwa kila wanachostahili na kwa wakati
 
Lazima uwe mkali kama wembe.

Cc Monetary doctor
Nadhani kwa uzoefu kidg nilio nao lazima kuwe na mipaka ya boss na wafanyakazi wengine,

Kinachopelekea hayo yote ni uzembe , kutokuwa tyr kujifunza, inapelekea unamuona boss mkali,

Mfn mtu kakuambia hv nataka unipe kitu kama permit docs, ni kitu Cha ku apply na kutoa , lkn mpk upigiwe kelele, ugombezwe ndo ufanye

Wabongo hatuna utayari wa kufanya vitu kwa wakati na haraka,

KUWA MKALI NA MIPAKA NI MUHIMU HAPA SIO KINDAGATENI USEME LALA TOTO, WE NEED TO WORK HARD EN GROWING UP OUR COMPANY BUSINESS

NDEGE NTUMIE REPORT YA LAST WEEK MPK SASA HUJATUMA
 
Hahahahaha naaam muhimu sana✍️✍️
 
Asiyeelewa hiki ulichokiandiaka basi kamwe hataelewa.
 
Back
Top Bottom