Uko sahihi sanaSiku nikiwa boss, nitakumbuka kuwa watu wana maisha nje ya ofisi, nitajua kuwa mfanyakazi mwenye huzuni hawezi kutoa furaha kazini.
Siku nikiwa boss, sitaamini kuwa vitisho huongeza tija, badala yake, nitawaongoza kwa kuhamasisha na kusikiliza.
Siku nikiwa boss, nitajenga mazingira ya kazi yenye utu, ambako makosa ni fursa ya kujifunza, si sababu ya kuonewa.
Siku nikiwa boss, nitatengeneza timu, si vibarua, nitachochea ushirikiano, si ushindani wa kuangushana.
Siku nikiwa boss, sitahesabu saa, nitahesabu thamani ya kazi, nitathamini juhudi kuliko muonekano.
Siku nikiwa boss nitatengeneza binadamu wa kunisaidia majukumu, sio machawa wa kuniletea umbea na majungu.
Kwa kifupi, siku nikiwa boss, nitakuwa kiongozi sio mtawala.
Mmonaga kundungu, kumeyo mwanja✍️✍️
Poor Brain
realMamy
zerominus10
Mshana Jr
@everyone
Sio wafanyakazi wa kibongo....labda wahindiSiku nikiwa boss, nitakumbuka kuwa watu wana maisha nje ya ofisi, nitajua kuwa mfanyakazi mwenye huzuni hawezi kutoa furaha kazini.
Siku nikiwa boss, sitaamini kuwa vitisho huongeza tija, badala yake, nitawaongoza kwa kuhamasisha na kusikiliza.
Siku nikiwa boss, nitajenga mazingira ya kazi yenye utu, ambako makosa ni fursa ya kujifunza, si sababu ya kuonewa.
Siku nikiwa boss, nitatengeneza timu, si vibarua, nitachochea ushirikiano, si ushindani wa kuangushana.
Siku nikiwa boss, sitahesabu saa, nitahesabu thamani ya kazi, nitathamini juhudi kuliko muonekano.
Siku nikiwa boss nitatengeneza binadamu wa kunisaidia majukumu, sio machawa wa kuniletea umbea na majungu.
Kwa kifupi, siku nikiwa boss, nitakuwa kiongozi sio mtawala.
Mmonaga kundungu, kumeyo mwanja✍️✍️
Poor Brain
realMamy
zerominus10
Mshana Jr
@everyone
Maneno ya kuongea na vitendo huwa yanatofautiana Sana ....Maana mazingira yako yatakuendesha uwe Mtu WA NAMNA ganiiSiku nikiwa boss, nitakumbuka kuwa watu wana maisha nje ya ofisi, nitajua kuwa mfanyakazi mwenye huzuni hawezi kutoa furaha kazini.
Siku nikiwa boss, sitaamini kuwa vitisho huongeza tija, badala yake, nitawaongoza kwa kuhamasisha na kusikiliza.
Siku nikiwa boss, nitajenga mazingira ya kazi yenye utu, ambako makosa ni fursa ya kujifunza, si sababu ya kuonewa.
Siku nikiwa boss, nitatengeneza timu, si vibarua, nitachochea ushirikiano, si ushindani wa kuangushana.
Siku nikiwa boss, sitahesabu saa, nitahesabu thamani ya kazi, nitathamini juhudi kuliko muonekano.
Siku nikiwa boss nitatengeneza binadamu wa kunisaidia majukumu, sio machawa wa kuniletea umbea na majungu.
Kwa kifupi, siku nikiwa boss, nitakuwa kiongozi sio mtawala.
Mmonaga kundungu, kumeyo mwanja✍️✍️
Poor Brain
realMamy
zerominus10
Mshana Jr
@everyone
Ujinga wa mmoja usikufanye utese wote, wapo wanaostahili urafiki na mshusiano mema mkuu! Jeuri ishi nae kijeuri na wale wema nenda nao kiwema!Mkuu hata mimi nilikua nasema hv hv ila angalia mpaka sasa navowafanyia hawa vijana ni huruma mkuu...
Ukiwa bosi hutakiwi kua lelemama watakupanda kichwani
Lazima uwe mkali kama wembe.Mkuu hata mimi nilikua nasema hv hv ila angalia mpaka sasa navowafanyia hawa vijana ni huruma mkuu...
Ukiwa bosi hutakiwi kua lelemama watakupanda kichwani
Kuna mambo bado hayajakufika ngoja uwe bosi utaelewaUjinga wa mmoja usikufanye utese wote, wapo wanaostahili urafiki na mshusiano mema mkuu! Jeuri ishi nae kijeuri na wale wema nenda nao kiwema!