Ukiwa Business Tycoon kwa Tanzania mfumo unakulazimisha uwe upande ule

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Yeah kuna mdau nilikuwa napiga naye stori hapa border,akaniuliza swali la kizushi . Mbona wafanyabiashara wakubwa (business tycoons) na/ sio wajasiriamali. Kwamba mbona almost wote hao wapo upande wa chama tawala?

Ni baada ya kusikia kuna mtu kasapoti chama kwa bilioni 100.. nikamjibu tu kwa juu juu kwamba "ah ni kawaida tu hiyo mbona"... mada ikaisha hivyo..

Ila kwa mujibu wa ufahamu na akili zangu fupi ninavyoelewa ni kwamba ..

Hao wafanyabiashara wakubwa(ziwe halali au haramu) lazima wawepo upande wa serikali na watawala na wanatengenezewa mazingira ya ulazima wawepo huko hata kama moyoni hawapendi.. Sababu ni moja tu wale watu wana Pesa na Automatically ukiwa na mkwanja mrefu kama hao tycoons unakuwa "Threat" kwa wenye mamlaka.

Maana "money buy almost anything in this World " Sasa
EQUATION ya Power haiwezi kukamilika kama hakuna Pesa. Na hao wenye pesa wakiwa upande huo lazima wapewe "Ruzuku" kama vile misamaha ya kodi na kupewa tuzo za walipa kodi bora wa mwaka🤗🤗🤗 💰 🤑 🏆.

Sahau na haitakaa itokee eti Mo asapoti harakati za upinzani never ever.. trying to do so unapewa kesi ya utakatishaji pesa na ukwepaji kodi.
 
Attachments

  • VID-20250813-WA0017.mp4
    527 KB
Hata mimi naona sio akili zao ni vile lazima walinde biashara zao .. Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom