Ukiwa handsome, kutongoza ni kama kucheza game in “Easy mode”

Yani ukiwa handsome hutumii nguvu nyingi, unaweka miadi na mtoto, ukikutana nae, ukivuta tu anakuja kifuani hana pingamizi.

Mwishowe anafunguka kua alikua nakuelewa sana alikua akikuona hajiwezi.

Sema ili u maintain u handsome, uwe na hela la sivyo utapauka kweli kweli,

Pesa kidogo huku inang’aa bas watoto wote wako
Somtmc hutongz kabisa🤪
 
Uzuri au mvuto wa aina yoyote ule unakurahisishia vitu vingi iwe kwenye kazi au mahusiano.

Ila kwa mtoto wa kiume kujisifia muonekano kila muda sio sawa mkuu maana itakufanya watu wahisi hauna kitu kingine cha kujivunia uanaume wako zaidi ya sura. Kitu ambacho hakimtafsiri mwanaume maana uanaume ni jitihada.
 
Umeongea point.

Mwanaume kujisifia sifia uzuri ni changamoto sana. Jamaa achunge Malinda yake vizuri.
 
Back
Top Bottom