Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Ndo uniandikie gazeti lote hilo, nimeishia kwa Yusuph kwahiyo mwenzetu wewe unajifananisha na huyo mtume wa Mungu?? Kwani na wewe ni nabii au mtume au mpakwa mafuta au labda unaishi karne ipi mwenzetu hii hii tuliyomo? Halafu hakuwa anajisifia hivi sifa zake zilimkuta akiwa hana habari muwe mnajilinganisha na mnaofanana nao,Hizi ni chuki zisizo na msingi. Wanaume wenye sura nzuri wapo. Hata Yusufu kwenye biblia anatajwa kama mwanaume handsome sana kuwahi kutokea ndo maana mke wa kigogo alimtaka kimapenzi. Binafsi mwaka 2000 nikiwa form one nilikutana na mama fulani siku ya jumamosi tukiwa tumeenda mjini.. yule mama alinisimamisha na kuniuliza jina akaniambia kwa jinsi ninavyoonekana itakuwa primary nilisoma english medium. Mwaka huohuo nilienda likizo fupi kwa mama mdogo sasa kuna siku rafiki yake akamuuliza kwa kilugha huyu mtoto handsome ni wa kwa nani akifikiri sijui kilugha...
Hali ya kuitwa itwa handsome ilikoma nilipomaliza form six hadi chuo. Kama miaka 8 hivi. Hali yangu ilikuwa mbaya sana kiuchumi mpaka mwonekano. Mwaka 2014 ndo kahaba mmoja niliyemchukua pale Mrina Annex akaniambia mimi ni handsome. Mwaka 2017 pia kahaba mwingine wa pale Sewa Bar Buguruni aliniambia kwa jinsi nilivyo haipendezi mimi kwenda Sewa kununua ndo nikaacha hiyo tabia.
MORAL OF THE STORY: Ma-handsome tupo na sio wake za watu. Hiyo kauli yako ni ya chuki dhidi yetu.
nyie ni wake za watu ndo nishasema njoeni mnipige mkija na bwana zenu nawachukua mnaachwa