Ukiwa handsome, kutongoza ni kama kucheza game in “Easy mode”

Somtmc hutongz kabisa🤪
 
Uzuri au mvuto wa aina yoyote ule unakurahisishia vitu vingi iwe kwenye kazi au mahusiano.

Ila kwa mtoto wa kiume kujisifia muonekano kila muda sio sawa mkuu maana itakufanya watu wahisi hauna kitu kingine cha kujivunia uanaume wako zaidi ya sura. Kitu ambacho hakimtafsiri mwanaume maana uanaume ni jitihada.
 
Umeongea point.

Mwanaume kujisifia sifia uzuri ni changamoto sana. Jamaa achunge Malinda yake vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…