Ukiwa handsome, kutongoza ni kama kucheza game in “Easy mode”

Hao ni Malaya tu rafiki yangu
 
Pisi Kali huko chini hapapo fresh sana sura za baba kule chini acha kabisa unahomondola yaaani weeee
 
Wewe K una hasira sana za kifala sana. Sasa mama yako anaweza kukuambia una sura mbaya? Kuwa handsome sio kuvaa hereni wala kujichubua.
Hili ndio tatizo la wanaopenda kusifiwa wazuri wazuri kama wewe. Haya kila la kheri ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…