haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Yaani ukiwa handsome hutumii nguvu nyingi, unaweka miadi na mtoto, ukikutana nae, ukivuta tu anakuja kifuani hana pingamizi.
Mwishowe anafunguka kuwa alikuwa nakuelewa sana alikua akikuona hajiwezi.
Sema ili u maintain u handsome, uwe na hela la sivyo utapauka kweli kweli,
Pesa kidogo huku inang’aa basi watoto wote wako