Ukiwa hujapata wateja kwenye biashara unatakiwa ufanye nini?

Ukiwa hujapata wateja kwenye biashara unatakiwa ufanye nini?

Kawaida hata usiogope rafiki yangu, miezi hii biashara zinakuwaga hazina wateja wengi, mambo yatakaa tu sawa
 
Kama umewahi kuuza hata Kwa mteja mmoja jiulize mteja wako wa kwanza ulimpataje ukipata majibu ya ilo swali ni rahisi sana kupata wateja wengine ira usipo gundua wateja wako wako Huwa unawapateja ni ngumu sana kupanua soko lako
 
Ndugu zangu naombeni mnipe mbinu za kufanya kwa mtua liyeanza biashara alafu WATEJA MWANZONI WALIKUA WANAKUJA TU ILA KWASASA NI WEEK INAENDA WATEJA NI WA KUSUA SUA HASA MWEZI HUU. Nifanyejeeee? Maana biashara ni mpya na sitaki kuifunga
Inategemea na aina ya biashara, location na ubora wa bidhaa.

Hata hivyo mwanzo mgumu
 
Back
Top Bottom