Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Hii inakuwaje mkuu? Fafanua kidogoUnafanya ng'ono ila hutoi janaba. Hakukisha unaoga kabla hujaingia kazini kwako ..
Acha usela oga at least mara mbili kwa siku. Asubuhi na jioni. .Hii inakuwaje mkuu? Fafanua kidogo
SteshenariBiashara gani unafanya
Inategemea na aina ya biashara, location na ubora wa bidhaa.Ndugu zangu naombeni mnipe mbinu za kufanya kwa mtua liyeanza biashara alafu WATEJA MWANZONI WALIKUA WANAKUJA TU ILA KWASASA NI WEEK INAENDA WATEJA NI WA KUSUA SUA HASA MWEZI HUU. Nifanyejeeee? Maana biashara ni mpya na sitaki kuifunga