Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
sasa mkuu utajiamini vipi wakati wewe upo mtupuIla kweli..halafu unajua ukikosa pesa inapunguza kujiamini Kwenye ngazi ya familia..hata maelewano yanapungua..(kuna case nyingi nimeshuhudia)..pesa sabuni ya roho..kukosa pesa kunapunguza pia nguvu za kiume..ukiwa na pesa hata njaa haiumi..🙂🙂
Yani kanifrahisha nimecheka bila kutarajia hakuna asiependa pesa lakini tunapambana na hali zetu tuAiseee hahahaaa acha utani bwanaaa mwanaume anakuaje na sauti ya kike ghafla bin vuuu....kisa tuu no money lol,.[emoji23]
Ila kama chemchem ya furaha yako ni pesa wallah barabarani utaongea na upepo,.
Haswaaa dia,ingekuwa kutokuwa na pesa kila mtu aongee mwenyewe huko barabarani sijui ingekuwaje,makelele mtindo mmoja wala tusingeelewana hahahaha kanchekesha mm...watu tunapambana na hali zetu jomoniii tunakufa na tai shingoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani kanifrahisha nimecheka bila kutarajia hakuna asiependa pesa lakini tunapambana na hali zetu tu
Hahahahahahhaha dah! Na hivi umaridadi unaficha umasikin ndio kabisaa, Mungu atufanyie wepesHaswaaa dia,ingekuwa kutokuwa na pesa kila mtu aongee mwenyewe huko barabarani sijui ingekuwaje,makelele mtindo mmoja wala tusingeelewana hahahaha kanchekesha mm...watu tunapambana na hali zetu jomoniii tunakufa na tai shingoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pesa bwana ..." ukiikosa "" waweza kujiona kuwa umetelekeza na nchi nzima...."" umesema ukweli mtupu mtoa madaPesa ni sabuni ya roho. Ukishindwa kutatua matatizo yako binafsi ama ya ndugu ama familia unakuwa kama mjinga mjinga hivi. Kichwa inajawa na stress.
Unakuta mwanaume anaongea sauti ya kike.Sauti nyembambaaa.
Hasa wanaume wengi wakikosa pesa hujikuta wanaongea peke yake barabarani na wanajawa na hasira.
Pesa bhana.Shida sana.
mkuu "" mtoa mada kaongea ukweli mtupu ...hilo suala sio la mchezo mchezo "" especially kwa wanaumeAiseee hahahaaa acha utani bwanaaa mwanaume anakuaje na sauti ya kike ghafla bin vuuu....kisa tuu no money lol,.[emoji23]
Ila kama chemchem ya furaha yako ni pesa wallah barabarani utaongea na upepo,.
Huyo mama mkwe wako mwambie aache kukariri maisha yanabadilikaMwanaume bila hela ni bora uvae gauni. Hata mama mkwe hakuthamini anaona kama wewe na mkeo wote wanawake.