Ukiwa huna hela unakuwa kama mjinga mjinga hivi hata sauti inabadilika

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Pesa ni sabuni ya roho. Ukishindwa kutatua matatizo yako binafsi ama ya ndugu ama familia unakuwa kama mjinga mjinga hivi. Kichwa inajawa na stress.

Unakuta mwanaume anaongea sauti ya kike.Sauti nyembambaaa.

Hasa wanaume wengi wakikosa pesa hujikuta wanaongea peke yake barabarani na wanajawa na hasira.

Pesa bhana.Shida sana.
 
Mwanaume bila hela ni bora uvae gauni. Hata mama mkwe hakuthamini anaona kama wewe na mkeo wote wanawake.
 
Ila kweli..halafu unajua ukikosa pesa inapunguza kujiamini Kwenye ngazi ya familia..hata maelewano yanapungua..(kuna case nyingi nimeshuhudia)..pesa sabuni ya roho..kukosa pesa kunapunguza pia nguvu za kiume..ukiwa na pesa hata njaa haiumi..🙂🙂
 
sasa mkuu utajiamini vipi wakati wewe upo mtupu

hata mdogo wko atakutuma kama hauna pesa
 
Aiseee hahahaaa acha utani bwanaaa mwanaume anakuaje na sauti ya kike ghafla bin vuuu....kisa tuu no money lol,.[emoji23]

Ila kama chemchem ya furaha yako ni pesa wallah barabarani utaongea na upepo,.
 
Yani kanifrahisha nimecheka bila kutarajia hakuna asiependa pesa lakini tunapambana na hali zetu tu
 
Haswaaa dia,ingekuwa kutokuwa na pesa kila mtu aongee mwenyewe huko barabarani sijui ingekuwaje,makelele mtindo mmoja wala tusingeelewana hahahaha kanchekesha mm...watu tunapambana na hali zetu jomoniii tunakufa na tai shingoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahahhaha dah! Na hivi umaridadi unaficha umasikin ndio kabisaa, Mungu atufanyie wepes
 
Hkiwa na Pesa heshima inakuja yenyewe. Utaitwa mzee na kuachiwa pa kukaa. Kama viti vimeisha wazee wa umri wa baba yako au zaidi watakupisha.
 
Pesa ni sabuni ya roho. Ukishindwa kutatua matatizo yako binafsi ama ya ndugu ama familia unakuwa kama mjinga mjinga hivi. Kichwa inajawa na stress.

Unakuta mwanaume anaongea sauti ya kike.Sauti nyembambaaa.

Hasa wanaume wengi wakikosa pesa hujikuta wanaongea peke yake barabarani na wanajawa na hasira.

Pesa bhana.Shida sana.
pesa bwana ..." ukiikosa "" waweza kujiona kuwa umetelekeza na nchi nzima...."" umesema ukweli mtupu mtoa mada
 
Aiseee hahahaaa acha utani bwanaaa mwanaume anakuaje na sauti ya kike ghafla bin vuuu....kisa tuu no money lol,.[emoji23]

Ila kama chemchem ya furaha yako ni pesa wallah barabarani utaongea na upepo,.
mkuu "" mtoa mada kaongea ukweli mtupu ...hilo suala sio la mchezo mchezo "" especially kwa wanaume
 
Mbona sizonje anazo na bado sio mjanja.
 
Dah mkuu ungejirekodi ili tusikie sauti yako ungetisha sana tungejua inavyokua
 
Money is not everything. But make sure you make a lot of it before saying this.
 
Mwanaume bila hela ni bora uvae gauni. Hata mama mkwe hakuthamini anaona kama wewe na mkeo wote wanawake.
Huyo mama mkwe wako mwambie aache kukariri maisha yanabadilika
 
Nimecheka sana, mke wangu akijua sina hela huwa anaepuka Shari na Mimi kwa hiyo siku
 
Back
Top Bottom