Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 651
Nakusanua mwanaume mwenzangu
Kama huna hela usipende sana kuchati mara kwa mara na mtoto wa kike
Sina maana usiwasiliane na mpenzi wako lahasha ila hii itakusaidia kukwepa vizinga vya hapa na pale
Siku ukiwa vizuri financially hapo sasa unaweza kuchati as you wish ila kama huna kitu jitahidi kumkwepa flani
Najua wadada huu uzi wataunanga kwa misemo yao ya "tafuta hela" but i don't give a damn mana mimi sina tatizo na mpenzi wangu na tupo fresh kabisa.