Ukiwa huna hela usipende chatting ndefu na mwanamke

Ukiwa huna hela usipende chatting ndefu na mwanamke

Hii avatar mbona mnaisema sana!! Ina nini kwani? Huyo ni avatar ya msanii wangu pendwa bana.
Nakutumia laki Saba uondoe hiyo avatar urudishe ile uliyokuwa unatumia kabla.Hii sio nzuri hata kidogo
 
Ukute mpo bar yy anapiga ulabu ww unaangalia mpira 🤣huo usumbufu wake sasa, mara akae pembeni yako akulalie lalie kuwaonesha marafiki zake unampenda sana .....kama unachat anaangalia screen ya simu yako
Dogo nakusalimu kwa jina la jamhuri🤣🤣
 
Back
Top Bottom