Ukiwa huna hela usipende chatting ndefu na mwanamke

Ukiwa huna hela usipende chatting ndefu na mwanamke

Najua wadada huu uzi wataunanga kwa misemo yao ya "tafuta hela" but i don't give a damn mana mimi sina tatizo na mpenzi wangu na tupo fresh kabisa.
Inasikitiaha sana unakuta mdangaji anaetegemea kutombwa ili aweze kuishi anamwambia mwanaume anaejitegemea "tafuta hela". Hivi kati ya hao wawili ni nani wa kumwambia mwenzake tafuta hela.!... akili za wakina dada wa hii nchi zinahitaji kufanyiwa brain engeneering kubwa sana.
 
Sasa hayo mapenzi maumivu, ukiwa na dem ambaye upendo wake mpaka ukiwa na hela,ila ukipitia changamoto za kiuchumi hakuelewi achana nae.
Kwa sasa mapenzi ni biashara, wanawake washaonyesha ivyo kwa maneno na vitendo ni sisi wanaume tu ndio bado tunajivuta vuta kuukubali huo ukweli.
 
Nakusanua mwanaume mwenzangu

Kama huna hela usipende sana kuchati mara kwa mara na mtoto wa kike

Sina maana usiwasiliane na mpenzi wako lahasha ila hii itakusaidia kukwepa vizinga vya hapa na pale

Siku ukiwa vizuri financially hapo sasa unaweza kuchati as you wish ila kama huna kitu jitahidi kumkwepa flani

Najua wadada huu uzi wataunanga kwa misemo yao ya "tafuta hela" but i don't give a damn mana mimi sina tatizo na mpenzi wangu na tupo fresh kabisa.
Naunga mkono hija…….. kwa msisitizo ni kwamba mwanaume unae jielewa usichati zaidi ya txt 5 na mwanamke mesej zingine jibu hata baada ya saa 5 …. Utanishukuru badaye
 
Siipendi kabisaaa.!! Wasichana wenzangu wananicheka sana. Kuna siku nilipanga niombe, ahiii nilijikanyaga mpk sio pouwa 😂
Alishanijua hivyo ananiwekea tyuu au ananipa card yake ila naweza nikakaa nayo au nikamtumia pesa mama yake.!!
Jipange basi tubebike pamoja. Mi pia napenda kutoa kwa warembo. Kwahiyo tutakuwa tunajibebisha kwa kupeana bila kuombana
 
Jipange basi tubebike pamoja. Mi pia napenda kutoa kwa warembo. Kwahiyo tutakuwa tunajibebisha kwa kupeana bila kuombana
Ww mzee umeanza lini kuvizia wajukuu zako?? Bibi Sakayo yuko wapi siku hizi?
 
Nakusanua mwanaume mwenzangu

Kama huna hela usipende sana kuchati mara kwa mara na mtoto wa kike

Sina maana usiwasiliane na mpenzi wako lahasha ila hii itakusaidia kukwepa vizinga vya hapa na pale

Siku ukiwa vizuri financially hapo sasa unaweza kuchati as you wish ila kama huna kitu jitahidi kumkwepa flani

Najua wadada huu uzi wataunanga kwa misemo yao ya "tafuta hela" but i don't give a damn mana mimi sina tatizo na mpenzi wangu na tupo fresh kabisa.
Ukweli mtupu,imenighalimu juzi
 
Back
Top Bottom