Ukiwa huna hela usipende chatting ndefu na mwanamke

Ukiwa huna hela usipende chatting ndefu na mwanamke

Kweli kabisa!! Nahisi nitakuwa na tatizo!! Au ww unaonaje?? 😂
Wala huna tatizo lolote cute, inaonekana huna njaa ya pesa unatoka Kwenye familia inayojiweza au una kazi nzuri inayokupa kipato kizuri
 
Nakusanua mwanaume mwenzangu

Kama huna hela usipende sana kuchati mara kwa mara na mtoto wa kike

Sina maana usiwasiliane na mpenzi wako lahasha ila hii itakusaidia kukwepa vizinga vya hapa na pale

Siku ukiwa vizuri financially hapo sasa unaweza kuchati as you wish ila kama huna kitu jitahidi kumkwepa flani

Najua wadada huu uzi wataunanga kwa misemo yao ya "tafuta hela" but i don't give a damn mana mimi sina tatizo na mpenzi wangu na tupo fresh kabisa.
Yaani.ukizidisha dakika tano tu basi ushapigwa kizinga.

Sometime unaamua ukae kimya tu.
 
Mkuu usidate na mshangazi ambaye Ni " Liability" Yaani yupo yupo tu anataka umhudie mpaka hela ya bundle.

Tafuta mshangazi ambaye anajishughulisha na chochote aidha saloon au genge.
Don't date a Liability bro.
Ni wote Kaka labda wewe huna uzoefu tu
 
Then you're one in a million, Yaani hupendi kumuomba mwanaume wako pesa jamani 😅
Siipendi kabisaaa.!! Wasichana wenzangu wananicheka sana. Kuna siku nilipanga niombe, ahiii nilijikanyaga mpk sio pouwa 😂
Alishanijua hivyo ananiwekea tyuu au ananipa card yake ila naweza nikakaa nayo au nikamtumia pesa mama yake.!!
 
Nakusanua mwanaume mwenzangu

Kama huna hela usipende sana kuchati mara kwa mara na mtoto wa kike

Sina maana usiwasiliane na mpenzi wako lahasha ila hii itakusaidia kukwepa vizinga vya hapa na pale

Siku ukiwa vizuri financially hapo sasa unaweza kuchati as you wish ila kama huna kitu jitahidi kumkwepa flani

Najua wadada huu uzi wataunanga kwa misemo yao ya "tafuta hela" but i don't give a damn mana mimi sina tatizo na mpenzi wangu na tupo fresh kabisa.

Wanawake wana matumizi sana makubwa ya fedha ambayo hayana msingi kuliko wanaume.

Mwanamke anawaza kupendeza tu ,anunue nywele ,anunue mafuta ya kila aina ,anunue nguo za kuvaa za kubadili kila siku halafu kipato kidogo.
 
Kwanza ukiona tu mwanaume anachat jua tu huyo it's either hana kazi na hela pia hana.
 
Mbona ule mwaka nimetaka kukuoa tukapanga vizuri mambo yetu,badae ukapotea ukaja na I'D nyingine, wala sikuogopa kama utapiga vizinga.😄😄😄
Hahaha kubabeki hii ni skendo! 😆😆😆

Mimi ID yangu hii hii bana nawe.
 
Back
Top Bottom