Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 651
Nakusanua mwanaume mwenzangu
Kama huna hela usipende sana kuchati mara kwa mara na mtoto wa kike
Sina maana usiwasiliane na mpenzi wako lahasha ila hii itakusaidia kukwepa vizinga vya hapa na pale
Siku ukiwa vizuri financially hapo sasa unaweza kuchati as you wish ila kama huna kitu jitahidi kumkwepa flani
Najua wadada huu uzi wataunanga kwa misemo yao ya "tafuta hela" but i don't give a damn mana mimi sina tatizo na mpenzi wangu na tupo fresh kabisa.
Kuwa na laki Saba Fulani hiviIli niwe free kuchat sana na mijimama inatakiwa niwe na kama kiasi gani cha pesa?
Duh! Qubabake nikajua kuanzia 50MKuwa na laki Saba Fulani hivi
Hapana mkuu, mbona hata ukiwa na laki 3 mambo fresh tuDuh! Qubabake nikajua kuanzia 50M
Laki tatu hii hii ya elfu kumi 30 mkuu akikwambia kusuka, kuchat, bando, na nauli imebaki nnHapana mkuu, mbona hata ukiwa na laki 3 mambo fresh tu
Mkuu usidate na mshangazi ambaye Ni " Liability" Yaani yupo yupo tu anataka umhudie mpaka hela ya bundle.Laki tatu hii hii ya elfu kumi 30 mkuu akikwambia kusuka, kuchat, bando, na nauli imebaki nn