Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Una hasira...Ukweli ni kwamba kuna wanawake hawajui mapenzi hata kidogo,Sisemi kwamba hakupendi La Hasha
ila kuna zile tashtiti kama hizo za kuambiwa onja chumvi,mara hiki mara kile Hawana kabisaaaa
Yani ni mishamba mishamba mishamba,ukweli ndio maana tunachepuka na hii mishamba ni mingi siku hizi
sijapata ONA sema Fresh tunaishi nao maana ndio wife material wenyewe hao
Mwanaume umefuata nini jikoni wakati kuna mwanamke uko?, kesho atakwambia ukae kwenye kibao cha mbuzi umsaidie kukuna nazi na wewe utakubali tu.Ukiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa๐๐
Mpe kampani huko jikoni mkipiga stori za hapa na pale. Wanawake wanapenda sana ila sisi wanaume huwa tunaona kukaa jikoni na mkeo ni ugai gai ila ni moja ya kitu bora sana kwao
siwezi mfundisha mtu mapenzi, so nimwambie awe ananipa mwiko naonja chumvi?Una hasira...
Si umwambie unapenda tashtiti.. na wewe ukionesha Kwa mfano+mazingira yaruhusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona ndo kwanza umeoana na una maokoto yatokanayo na mchango wa harusi, ngoja uishiwe uone kama utaonjeshwa tena.
Kuwa mjanja.
๐๐kashesheUkweli ni kwamba kuna wanawake hawajui mapenzi hata kidogo,Sisemi kwamba hakupendi La Hasha
ila kuna zile tashtiti kama hizo za kuambiwa onja chumvi,mara hiki mara kile Hawana kabisaaaa
Yani ni mishamba mishamba mishamba,ukweli ndio maana tunachepuka na hii mishamba ni mingi siku hizi
sijapata ONA sema Fresh tunaishi nao maana ndio wife material wenyewe hao
Na ina wivu hatari hiii mijike ya hivi! lkn haina mbinu yoyote ya kuishi na mwanaumeUkweli ni kwamba kuna wanawake hawajui mapenzi hata kidogo,Sisemi kwamba hakupendi La Hasha
ila kuna zile tashtiti kama hizo za kuambiwa onja chumvi,mara hiki mara kile Hawana kabisaaaa
Yani ni mishamba mishamba mishamba,ukweli ndio maana tunachepuka na hii mishamba ni mingi siku hizi
sijapata ONA sema Fresh tunaishi nao maana ndio wife material wenyewe hao
Kabisa achana nae huyo kichwa nyumbusiwezi mfundisha mtu mapenzi, so nimwambie awe ananipa mwiko naonja chumvi?
unaona ni sawa? mapenzi ni somo ambalo unatakiwa ujifunze mwenywe sio ufundishwe
Baba mzima unashinda jikoni. Hii labda unaongelea mkiwa singles. Kwa hiyo unakaa kusubiri upewe upawa uonje mchuzi ambao nyama umenunua mwenyewe?Ukiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa๐๐
Mpe kampani huko jikoni mkipiga stori za hapa na pale. Wanawake wanapenda sana ila sisi wanaume huwa tunaona kukaa jikoni na mkeo ni ugai gai ila ni moja ya kitu bora sana kwao
Khee๐๐๐พMwanaume umefuata nini jikoni wakati kuna mwanamke uko?, kesho atakwambia ukae kwenye kibao cha mbuzi umsaidie kukuna nazi na wewe utakubali tu.
Mambo ayo, mambo sasa ๐๐๐Khee๐๐๐พ
๐๐Acha ugumu wewe mapenz ukiyachukulia serious hizo moment huwez kuzielewaMwanaume umefuata nini jikoni wakati kuna mwanamke uko?, kesho atakwambia ukae kwenye kibao cha mbuzi umsaidie kukuna nazi na wewe utakubali tu.
Ni mwanzo wa mwanaume kuwa mbeya mmbeyaUkiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa๐๐
Mpe kampani huko jikoni mkipiga stori za hapa na pale. Wanawake wanapenda sana ila sisi wanaume huwa tunaona kukaa jikoni na mkeo ni ugai gai ila ni moja ya kitu bora sana kwao