Ukiwa kama mshabiki wa Simba ni timu gani ungependa Simba ikutane nazo katika makundi ya klabu bingwa Afrika?

Ukiwa kama mshabiki wa Simba ni timu gani ungependa Simba ikutane nazo katika makundi ya klabu bingwa Afrika?

ToniXrated

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
1,134
Reaction score
2,993
Binafsi napenda tupangiwe kundi moja na

Wydad Ac
Al hilal
Coton sport de Garoua


Je wewe ungependa tukutane na timu gani?
 
Mkubwa ili iwe mkubwa inabidi ukutane na wakubwa.
 
Natamani tujilipue kikubwa kundi liwe hivi.

Alhly
Mamelod
Simba
Vipers .
Tukitoboa hapo sidhan km kutakua na kimya wa kujifanisha na sisi.
 
Mamelod
Wydad
Vipers

Hawa tunawataka mapema ili njia ya robo fainali iwe nyepesi.
 
timu zozote ila tu ziwe za waarabu,hao ndo wanajua mziki wa Simba.
 
Ukishaingia front (uwanja wa vita) huwezi kuchagua adui au aina ya silaha utakayokutana nayo. Kuwa tayari kwa lolote na kuwa tayari kujibu mashambulizi.
 
inabidi hii record ya kuongoza ligi irudiwe

20221017_114204.jpg
 
Back
Top Bottom