Ukiwa Kama Mtanzania mwenye akili timamu unakubaliana na haya yanayoendelea?

Magufuri, kalibu, alilizika, inavyostairi. Kajifunze kwanza kuandika. Mama Samia ni rais wako hadi 2030. Kama hutaki hamia Burundi kisha urudi 2031 ukute Rais Mwigulu.
 
Magufuri, kalibu, alilizika, inavyostairi. Kajifunze kwanza kuandika. Mama Samia ni rais wako hadi 2030. Kama hutaki hamia Burundi kisha urudi 2031 ukute Rais Mwigulu.
Kuna maana gani kama unajua kuandika halafu unajiita chawa wa mtu
 
Wewe ni mavi ya nyoka
 
Badala ya kusema hatoshi embu tuambie kitu gani amefanya sivyo na kingetakiwa kifanyweje ili tujue kweli HATOSHI.
 
Hivi hii tsh 500 iliyoongezeka kwenye LUKU kama inavyoitwa deni, sijui kodi/tozo ya nini, ni mimi tu ndo sikuwa na taarifa nayo au imeingia kimya kimya?

Nilikuwa naona tsh 1,500 walipoamua kuanza ila sasa ni Tsh 2,000.
 
Et si afanye kama biden tuu wa marekan
 
Tatizo SIYO Rais Samia, bali tatizo ni Katiba mbovu iliyopo.

Hata Mwl. Nyerere aliwahi kusema kwamba "kwa Katiba hii ningeweza kuwa hata Rais dikteta Kama ningetaka."
 
Shule 26 za sayansi za wanawake zinaendelea kujengwa na nyingine zimesha kwisha
2:Vyuo vya Ufundi stadi zaidi ya 68 vinaendelea kujengwa
3:Jifunze mradi wa HEEt wa kuwezesha vyuo vikuu kujenga matawi
4:mahindi ya wakulima Bei 600 na mpunga kilo 980
5: Hospital na vituo vya afya kila sehemu
6:Vyama vya upinzani Leo wanatamba tu
8:Kajifunze mradi wa boost
9:Bwawa la Nyerere limekiwsha tayari
10:Bima kwa wote around the corner
11:Wagonjwa wa figo now bongo land
12:Hadi nashindwa
 
Kwamba ww unaipenda sana nchi kuliko hao waliop juu unaowataka wamwambie apumzike ??
 
Huyo unayemuita Rais mpendwa Magufuli ni lini tulikubaliana kwamba ni mpendwa?

Na haya aliyoyafanya MAGUFULI dhidi ya Watanzania unadhani yanashinda udhaifu wa Samia:-
1.. Alizuia shughuli halali za vyama vya siasa hususan mikutano na maandamano
2. Alikuwa ameitisha Mahakama iamue kwa kuipendelea Serikali
3. Aliliteka Bunge likawa kama kitengo cha Ikulu
4. Alinyang'anya fedha za wafanyabiashara na kuwatupa rumande bila makosa
5. Alikuwa MWONGO sana kwa kuwa alijuwa Watanzania ni wajinga. Alidai anajenga miradi kwa fedha za ndani kumbe anakopa kwenye mabenki ya nje
6. Alidhibiti uhuru wa maoni na kuvitisha kuvifungia vyombo huru vya habari ambavyo vingeripoti kinyume na matakwa yake
7. Aliiba uchaguzi wote wa 2020 na kutuachia wabunge aliowateua yeye

Uzuri wa Magufuli unatoka wapi hapo?
 
Sikubaliani na mama Samia wala CCM, hawa wote ni hatari kwa nchi yetu na tunapaswa kuwakataa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…