Ukiwa Kama Mtanzania mwenye akili timamu unakubaliana na haya yanayoendelea?

Tulipompata Rais wetu Mpendwa Magufuri kalibu kila mtu alilizika, na utendaje wake wa kazi,alijipambanua yeye ni Rais wa wanyonge na alichukia ufisadi na kila mtu aliona na hakucheka na majizi, tulitembea kifua mbele tukijivunia Rais wetu Mpendwa ingawa hakuwatendea wapinzani inavyostairi.
Leo tunaye mama Samia, kwa kweli inchi imemshinda,tunaombeni mlioko juu mumshauri mama apumzike,kama tulikosea sababu ya katiba basi tusindelee kukosea tena kama tunaipenda inchi yetu,atafutwe mwingine atakayetuongoza,hatuweze kuona inchi yetu inaingia Shimoni huku tunaiona,Mama viatu havimtoshi
Magufuri, kalibu, alilizika, inavyostairi. Kajifunze kwanza kuandika. Mama Samia ni rais wako hadi 2030. Kama hutaki hamia Burundi kisha urudi 2031 ukute Rais Mwigulu.
 
Kuna maana gani kama unajua kuandika halafu unajiita chawa wa mtu
 
Hayo maneno ya kipumbavu mlianza kuongea Toka day 1 na Hadi Leo SSH yupo na anachapa kazi.

Unaposema Nchi imemshinda uwe unasema imemshindaje badala ya ku express matamanio Yako ya kipuuzi ambayo sio lazima Kila mtu atamani.

Wewe ndio ukiridhika na Rais wako wa Wanyonge ,Mimi sijawahi furahia ,yaani nifurahie ukosefu wa Ajira na umaskini?

Acha ujinga.Samia Anatosha na chenji inabaki,hutaki meza misumari 👇👇

View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1825872210612945347?t=917h-UYDVo75MVQBoDviTw&s=19

Wewe ni mavi ya nyoka
 
Tulipompata Rais wetu Mpendwa Magufuri kalibu kila mtu alilizika, na utendaje wake wa kazi,alijipambanua yeye ni Rais wa wanyonge na alichukia ufisadi na kila mtu aliona na hakucheka na majizi, tulitembea kifua mbele tukijivunia Rais wetu Mpendwa ingawa hakuwatendea wapinzani inavyostairi.
Leo tunaye mama Samia, kwa kweli inchi imemshinda,tunaombeni mlioko juu mumshauri mama apumzike,kama tulikosea sababu ya katiba basi tusindelee kukosea tena kama tunaipenda inchi yetu,atafutwe mwingine atakayetuongoza,hatuweze kuona inchi yetu inaingia Shimoni huku tunaiona,Mama viatu havimtoshi
Badala ya kusema hatoshi embu tuambie kitu gani amefanya sivyo na kingetakiwa kifanyweje ili tujue kweli HATOSHI.
 
Hivi hii tsh 500 iliyoongezeka kwenye LUKU kama inavyoitwa deni, sijui kodi/tozo ya nini, ni mimi tu ndo sikuwa na taarifa nayo au imeingia kimya kimya?

Nilikuwa naona tsh 1,500 walipoamua kuanza ila sasa ni Tsh 2,000.
 
Tulipompata Rais wetu Mpendwa Magufuri kalibu kila mtu alilizika, na utendaje wake wa kazi,alijipambanua yeye ni Rais wa wanyonge na alichukia ufisadi na kila mtu aliona na hakucheka na majizi, tulitembea kifua mbele tukijivunia Rais wetu Mpendwa ingawa hakuwatendea wapinzani inavyostairi.
Leo tunaye mama Samia, kwa kweli inchi imemshinda,tunaombeni mlioko juu mumshauri mama apumzike,kama tulikosea sababu ya katiba basi tusindelee kukosea tena kama tunaipenda inchi yetu,atafutwe mwingine atakayetuongoza,hatuweze kuona inchi yetu inaingia Shimoni huku tunaiona,Mama viatu havimtoshi
Et si afanye kama biden tuu wa marekan
 
Tatizo SIYO Rais Samia, bali tatizo ni Katiba mbovu iliyopo.

Hata Mwl. Nyerere aliwahi kusema kwamba "kwa Katiba hii ningeweza kuwa hata Rais dikteta Kama ningetaka."
 
Tulipompata Rais wetu Mpendwa Magufuri kalibu kila mtu alilizika, na utendaje wake wa kazi,alijipambanua yeye ni Rais wa wanyonge na alichukia ufisadi na kila mtu aliona na hakucheka na majizi, tulitembea kifua mbele tukijivunia Rais wetu Mpendwa ingawa hakuwatendea wapinzani inavyostairi.
Leo tunaye mama Samia, kwa kweli inchi imemshinda,tunaombeni mlioko juu mumshauri mama apumzike,kama tulikosea sababu ya katiba basi tusindelee kukosea tena kama tunaipenda inchi yetu,atafutwe mwingine atakayetuongoza,hatuweze kuona inchi yetu inaingia Shimoni huku tunaiona,Mama viatu havimtoshi
Shule 26 za sayansi za wanawake zinaendelea kujengwa na nyingine zimesha kwisha
2:Vyuo vya Ufundi stadi zaidi ya 68 vinaendelea kujengwa
3:Jifunze mradi wa HEEt wa kuwezesha vyuo vikuu kujenga matawi
4:mahindi ya wakulima Bei 600 na mpunga kilo 980
5: Hospital na vituo vya afya kila sehemu
6:Vyama vya upinzani Leo wanatamba tu
8:Kajifunze mradi wa boost
9:Bwawa la Nyerere limekiwsha tayari
10:Bima kwa wote around the corner
11:Wagonjwa wa figo now bongo land
12:Hadi nashindwa
 
Tulipompata Rais wetu Mpendwa Magufuri kalibu kila mtu alilizika, na utendaje wake wa kazi,alijipambanua yeye ni Rais wa wanyonge na alichukia ufisadi na kila mtu aliona na hakucheka na majizi, tulitembea kifua mbele tukijivunia Rais wetu Mpendwa ingawa hakuwatendea wapinzani inavyostairi.
Leo tunaye mama Samia, kwa kweli inchi imemshinda,tunaombeni mlioko juu mumshauri mama apumzike,kama tulikosea sababu ya katiba basi tusindelee kukosea tena kama tunaipenda inchi yetu,atafutwe mwingine atakayetuongoza,hatuweze kuona inchi yetu inaingia Shimoni huku tunaiona,Mama viatu havimtoshi
Kwamba ww unaipenda sana nchi kuliko hao waliop juu unaowataka wamwambie apumzike ??
 
Tulipompata Rais wetu Mpendwa Magufuri kalibu kila mtu alilizika, na utendaje wake wa kazi,alijipambanua yeye ni Rais wa wanyonge na alichukia ufisadi na kila mtu aliona na hakucheka na majizi, tulitembea kifua mbele tukijivunia Rais wetu Mpendwa ingawa hakuwatendea wapinzani inavyostairi.
Leo tunaye mama Samia, kwa kweli inchi imemshinda,tunaombeni mlioko juu mumshauri mama apumzike,kama tulikosea sababu ya katiba basi tusindelee kukosea tena kama tunaipenda inchi yetu,atafutwe mwingine atakayetuongoza,hatuweze kuona inchi yetu inaingia Shimoni huku tunaiona,Mama viatu havimtoshi
Huyo unayemuita Rais mpendwa Magufuli ni lini tulikubaliana kwamba ni mpendwa?

Na haya aliyoyafanya MAGUFULI dhidi ya Watanzania unadhani yanashinda udhaifu wa Samia:-
1.. Alizuia shughuli halali za vyama vya siasa hususan mikutano na maandamano
2. Alikuwa ameitisha Mahakama iamue kwa kuipendelea Serikali
3. Aliliteka Bunge likawa kama kitengo cha Ikulu
4. Alinyang'anya fedha za wafanyabiashara na kuwatupa rumande bila makosa
5. Alikuwa MWONGO sana kwa kuwa alijuwa Watanzania ni wajinga. Alidai anajenga miradi kwa fedha za ndani kumbe anakopa kwenye mabenki ya nje
6. Alidhibiti uhuru wa maoni na kuvitisha kuvifungia vyombo huru vya habari ambavyo vingeripoti kinyume na matakwa yake
7. Aliiba uchaguzi wote wa 2020 na kutuachia wabunge aliowateua yeye

Uzuri wa Magufuli unatoka wapi hapo?
 
Sikubaliani na mama Samia wala CCM, hawa wote ni hatari kwa nchi yetu na tunapaswa kuwakataa!
Tulipompata Rais wetu Mpendwa Magufuri kalibu kila mtu alilizika, na utendaje wake wa kazi,alijipambanua yeye ni Rais wa wanyonge na alichukia ufisadi na kila mtu aliona na hakucheka na majizi, tulitembea kifua mbele tukijivunia Rais wetu Mpendwa ingawa hakuwatendea wapinzani inavyostairi.
Leo tunaye mama Samia, kwa kweli inchi imemshinda,tunaombeni mlioko juu mumshauri mama apumzike,kama tulikos sababu ya katiba basi tusindelee kukosea tena kama tunaipenda inchi yetu,atafutwe mwingine atakayetuongoza,hatuweze kuona inchi yetu inaingia Shimoni huku tunaiona,Mama viatu havimtoshi
 
Back
Top Bottom