Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini?
Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.

Ni mtihani kwa kweli. Ni ngumu hata kuwaza hatua ya kuvhukua
Kuna sehemu nilienda kumtembelea mtu nikakuta mtoto wa miaka sita anachapwa na mzazi wake kisa ni kukutwa kwenye pagale akiwa na mtoto wa umri sawa naye wakifanya yao. Na hawa watoto wote ni wa kiume

Inaniuma kuna rafiki yangu nilisoma naye nishoga Tena namuona Sana fb anajipost, wakati mwamba alikuwa fresh kabisa wakati tukiwa shule
Binadamu wabayaaaa
Shule za boarding hasa hizi English Medium ni shida, watoto wa kiume wanaharibika sana in boarding schools.Umakini wa wazazi unahitajika sana kwenye malezi ya watoto,haitakiwi kumuacha mtoto bila supervision,Matron/Patron wawasaidie wazazi kipindi mtoto akiwa shule ,supervision ni muhimu kwa 100%,mtoto hatakiwi kulala na wageni ,inapendeza kama una ukwasi kila mtoto awe analala kitanda chake(kama chumba kimoja) au chumba chake peke yake.
Shule za boarding hasa hizi English Medium ni shida, watoto wa kiume wanaharibika sana in boarding schools.
Mzaha mzaha mbuzi alimpanda mama yakeWatoto wengi wanapitia kipindi cha majaribio km haya na wala haimaanishi kuwa watakuwa mashoga.