Ukiwa kama mzazi, ukifahamu mtoto wako anashiriki mapenzi ya jinsia moja utafanya nini?

Inasikitisha ,Kuna jamaa aliharibiwa Boarding Maua Seminary wakati akiwa Olevel na alifaulu vizuri tu alipata A tisa ,tukakutana Advance akiwa tayari GASHO,Shule za boarding nazo ni machaka ya Lesbians/Gays/LGBT.

Aint Svck a D!ck ,No Homo.
Mbona boarding niliyosoma mimi hakuna hizo mishe? Au za wavulana peke yao ndio shida?
 
Kuna ushoga wa aina tatu.
1-Anakuwa shoga kwa sababu ana homoni nyingi za kike.
2-Anakuwa shoga kwa sababu ya kuzoea kuingiliwa tangu utoto.Mfano mwaka huu 2021 wizara ya mambo ya ndani ilisema bungeni kuna watoto wa kiume zaidi ya 500 walilawitiwa, watoto kama hawa wakiendelea kufanyiwa hiyo michezo hawawezi kuacha.
3-Anakuwa shoga kwa sababu ya kutaka fedha nk,akishazoea anashindwa kuacha.
Ushoga wa aina zote mtu akipewa ushauri mzuri na akitaka kuacha anaacha.

Kitabu hiki kina mada inayoelezea kwa undani mambo hayo, anayehitaji tuwasiliane 0756625286.
 
Haya mambo hayakuwepo zamani ... nadhani nanhuko vijijini hata sasa sijaonaila hapa mini huwiii
 
Namfahamu shoga mmoja ambae amelelewa na baba na mama. Nyumban wameshika dini na hakuna malezi ya kimayaimayai, yule mama wakikurya ni wamoto. Amesoma shule za day mpaka O'Level which means alikua kwenye uangalizi wa wazazi. Advance amesoma tusiime.

Ila sasa...
Mungu atusaidie..
Jamaa anafanya kazi taasisi ya serikali yenye hadhi sana. Amesomesha wadogo zake, anatunza wazazi na ndugu. Ameoa 2019 hivyo anatunza familia yake.

Ila pia anatunza na mabwana kwa gharama yoyote ile. Mmoja yupo kimara, alifunguliwa pub ya uwekezaji wa milioni 10.

Mwingine alichukuliwa akiwa chuo kijana mdogo wa 98/97. Amepangiwa chumba, amewekewa kila kitu ndani. Amefunguliwa duka soko la Rehema Nchimbi. Anapewa hela ya kula, ya gym, kuvaa n.k. chamuhimu awe na afya, na nguvu na muonekano. Wana miaka mitatu sasa.

Sasa unajiuliza, hapa wazazi walikosea wapi...
Mungu atuepushe kwakweli. Siwezi hata kuimagin kwa mwanangu. Mungu niepushie mbali
 
Kinauzwaje?
 
Hawa wa hivi mara nyingi inakuwa ni ushirikina unakuta kapewa masharti na mganga wa kienyeji huko ndo vinatokea vitu kama ivo.
 
Hii number 3 ndio sababu kubwa ya vijana kuharibika na kuharibiwa mitandao ndio imepekea watoto kuharibika special mobile kuna cartoon mpaka za mashoga leo super man ktk cartoon kawa shoga anafanya mapenzi na mwanamme mwenzake yaani hili ni balaa ktk dunia limeingia ukiangalia movie nyingi hayo mambo yapo hii dunia inapelekwa huko Somora na gomora.Allah tusaidie.
 
Hakuna namna ila kumtoa hapo na kumpeleka kijijini akakutanishwe na wazee wa jadi wamfanyie maswala ya kimila ikiwamo kumjenga kiume akae huko hata miaka mitano. Akitoka huko anaweza kuwa sawa.
Ushatuona huku mikoani kijijini ni dampo unatuletea wa nini unataka aharibu watoto zetu
 
Hapa wale wajomba walio kuwa wanakuja kulala kwao Kama alikua analala nao
 
Inasikitisha ,Kuna jamaa aliharibiwa Boarding Maua Seminary wakati akiwa Olevel na alifaulu vizuri tu alipata A tisa ,tukakutana Advance akiwa tayari GASHO,Shule za boarding nazo ni machaka ya Lesbians/Gays/LGBT.

Aint Svck a D!ck ,No Homo.
Hizi shule zinakosa usimamiz dhabiti. Shule za boarding zaman walikuwa wanafuatiliwa to the max. Sahiz hawafuatiliwi tena
 
Sure, mimi lazima nimjenge kiume, akianza kubalehe nitamwambia K ni tamu, nimfanye achuki pigo za kike!

Be man, strong, asiogope, mtu akikuletea pigo za kigasho mara ww mzuri, piga mawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…