Kuuza kahawa na tangawizi Je?Tuambizane ukweli ambao watu wengi huwa hatuambiani, Huwa tunafarijiana tu
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aliwambia vijana huwezi kutoboa maisha Kwa kuuza uduvi, watu wakamwijia juu
Huo uvivu wa kukataa kumwaga jasho na kuumiza akili ndo hivo tunauwa vijana wanakosa ubunifu na kuishia kuwa masikini wa kutupwa
Kijana ukiwa na nguvu Fanya kazi au biashara Kwa bidii na tengeneza kesho yako
Kijana uliyekamilika usifanye biashara au shughuli zifuatazo
1. Kuuza genge
Kijana wa miaka 20/ 22/23, unajisifu kumiliki genge, yaani nguvu zako zote na akili unashinda unakata kabichi na kuuza kitunguu 100, lini utashika million 100, lini utaenda China au Dubai, lini utakaa baa ule mtungi wa laki 5
Kwanini usikimbie Kariakoo ukachukua mzigo wa nguo au cover A simu ukimbize chap upige faida ya maana
2 Kushona viatu
Kijana mwenye nguvu upo kibarazani unashona na kungarisha viatu.
Binafsi laZima ni kudharau nikikuta unafanya hii shughuli Dar es salaam
3. Kuchoma vitumbua
Kijana mwenye nguvu unaibuka na idea ya kuchoma vitumbua, utatoboa lini, fikiria biashara ya kukutoa mapema
4 Kuuza miguu ya kuku
Hii biashara inatakiwa wafanye wabibi, kijana mdogo unauzaje biashara ya mabibi kama hii
Amka acha uvivu Katie jasho upate pesa
5. Kuchemsha mayai
Kijana mjinga unatembea na trey ya mayai mtaani ati upo mjini unapambana, we ni jinga na pumbavu kwanini usije huku tukalime maharage na mahindi
Hizi ni baadhi ya biashara za kijinga ambazo kijana hupaswi kuzifanya
Cha ajabu Wanyambo wa Kagera na Mkoa wao ni Watatu kutoka mwisho kwa Umaskini kati ya mikoa 30 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Tuambizane ukweli ambao watu wengi huwa hatuambiani, Huwa tunafarijiana tu
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aliwambia vijana huwezi kutoboa maisha Kwa kuuza uduvi, watu wakamwijia juu
Huo uvivu wa kukataa kumwaga jasho na kuumiza akili ndo hivo tunauwa vijana wanakosa ubunifu na kuishia kuwa masikini wa kutupwa
Kijana ukiwa na nguvu Fanya kazi au biashara Kwa bidii na tengeneza kesho yako
Kijana uliyekamilika usifanye biashara au shughuli zifuatazo
1. Kuuza genge
Kijana wa miaka 20/ 22/23, unajisifu kumiliki genge, yaani nguvu zako zote na akili unashinda unakata kabichi na kuuza kitunguu 100, lini utashika million 100, lini utaenda China au Dubai, lini utakaa baa ule mtungi wa laki 5
Kwanini usikimbie Kariakoo ukachukua mzigo wa nguo au cover A simu ukimbize chap upige faida ya maana
2 Kushona viatu
Kijana mwenye nguvu upo kibarazani unashona na kungarisha viatu.
Binafsi laZima ni kudharau nikikuta unafanya hii shughuli Dar es salaam
3. Kuchoma vitumbua
Kijana mwenye nguvu unaibuka na idea ya kuchoma vitumbua, utatoboa lini, fikiria biashara ya kukutoa mapema
4 Kuuza miguu ya kuku
Hii biashara inatakiwa wafanye wabibi, kijana mdogo unauzaje biashara ya mabibi kama hii
Amka acha uvivu Katie jasho upate pesa
5. Kuchemsha mayai
Kijana mjinga unatembea na trey ya mayai mtaani ati upo mjini unapambana, we ni jinga na pumbavu kwanini usije huku tukalime maharage na mahindi
Hizi ni baadhi ya biashara za kijinga ambazo kijana hupaswi kuzifanya
Kwa mudowea vitu vya watu hawa jamaa ni balaa. Akiwa nje anajifanya Tajiri......hahahaWanyambo hamnaga akili
Sijaona mbadala wa hizi unazozipondaTuambizane ukweli ambao watu wengi huwa hatuambiani, Huwa tunafarijiana tu
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aliwambia vijana huwezi kutoboa maisha Kwa kuuza uduvi, watu wakamwijia juu
Huo uvivu wa kukataa kumwaga jasho na kuumiza akili ndo hivo tunauwa vijana wanakosa ubunifu na kuishia kuwa masikini wa kutupwa
Kijana ukiwa na nguvu Fanya kazi au biashara Kwa bidii na tengeneza kesho yako
Kijana uliyekamilika usifanye biashara au shughuli zifuatazo
1. Kuuza genge
Kijana wa miaka 20/ 22/23, unajisifu kumiliki genge, yaani nguvu zako zote na akili unashinda unakata kabichi na kuuza kitunguu 100, lini utashika million 100, lini utaenda China au Dubai, lini utakaa baa ule mtungi wa laki 5
Kwanini usikimbie Kariakoo ukachukua mzigo wa nguo au cover A simu ukimbize chap upige faida ya maana
2 Kushona viatu
Kijana mwenye nguvu upo kibarazani unashona na kungarisha viatu.
Binafsi laZima ni kudharau nikikuta unafanya hii shughuli Dar es salaam
3. Kuchoma vitumbua
Kijana mwenye nguvu unaibuka na idea ya kuchoma vitumbua, utatoboa lini, fikiria biashara ya kukutoa mapema
4 Kuuza miguu ya kuku
Hii biashara inatakiwa wafanye wabibi, kijana mdogo unauzaje biashara ya mabibi kama hii
Amka acha uvivu Katie jasho upate pesa
5. Kuchemsha mayai
Kijana mjinga unatembea na trey ya mayai mtaani ati upo mjini unapambana, we ni jinga na pumbavu kwanini usije huku tukalime maharage na mahindi
Hizi ni baadhi ya biashara za kijinga ambazo kijana hupaswi kuzifanya
Hapa nakupinga mkuu, bajaji au pikipiki ukiendesha miaka miwili mkataba ukaisha s unauza unafanya ishu nyingineNaongezea
KAZI za usafirishaji kama Bajaj na bodaboda.
Zinakuandaa kijana kuwa masikini huwezi kutoboa maisha kwa kuendesha bodaboda na Bajaj sana sana utaishia kuwa mlemavu au tegemezi kwenye maisha Yako yote
Mkuu naomba kama Kuna addition ongeza juu ya KAZi hii takataka
Kuna biashara za kukupa kula na biashara za kukupa luxury life...
Wengi wetu tupo kwenye biashara za kutupa kula akini tunafikiria zitatupa luxury life which is not trueee...
We have to go beyond that comfort zone na kuwaza mambo mazito ila ni jambo gumu maana linahitaji iwe smart kicheani,nguvu ya ushaeishi,uwezo wa kuongea na kutengeneza connection