Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Umemskiliza?Mimi hata sijakuelewa. Kwani huyu yukoje? Mkali?
Kwa hiyo sasa tumlinganishaje na hawa wetu? Tuseme na Majaliwa awe mkali, au?
May be, ungetoa maelezo wewe kwanza kwa kadiri unavyomfahamu kulinganisha na wengine...
Kisha sisi wengine tutatoa maoni yetu msingi ukiwa ni Yale ya kwako..
HatariKwa bahati mbaya bara la Afrika lina watawala na sio viongozi.
Sasa tufanyeje kama tumeshindwa ?huku huwa tunampa muwekezaji atusaidie kuongeza ufanisi na mapato.
Huyu alikuwa mtawala wala hakuwa kiongozi, japo aliitoa singapore jalalani, ila aliumiza watu sana.Kwa bahati mbaya bara la Afrika lina watawala na sio viongozi.
Mimi hata sijakuelewa. Kwani huyu yukoje? Mkali?
Kwa hiyo sasa tumlinganishaje na hawa wetu? Tuseme na Majaliwa awe mkali, au?
May be, ungetoa maelezo wewe kwanza kwa kadiri unavyomfahamu kulinganisha na wengine...
Kisha sisi wengine tutatoa maoni yetu msingi ukiwa ni Yale ya kwako..
Kiongozi aliye beba maono huwa hataki ujinga,hasa kwenye mambo ya msingi ya kujenga taifa lake.Mtawala siku zote huwa hana maono zaidi ya kuwaza madaraka tu.huyu alikuwa mtawala wala hakuwa kiongozi, japo aliitoa singapore jalalani, ila aliumiza watu sana.
Kile ulichokibeba usipokisimamia kwa hali zote, lazima uferi,Kiongozi aliye beba maono huwa hataki ujinga,hasa kwenye mambo ya msingi ya kujenga taifa lake.Mtawala siku zote huwa hana maono zaidi ya kuwaza madaraka tu.
kiongozi auwi watu, kiongozi hafungi watu jela kwa kisingizio cha uhaini, kiongozi afilisi matajiri ila anawabana kwa kutumia sheria ili walipe kodi, kiongozi arithishi mtoto wake madaraka ili amlinde na maovu yake, hayo yote huyo bwana kafanya,Kiongozi aliye beba maono huwa hataki ujinga,hasa kwenye mambo ya msingi ya kujenga taifa lake.Mtawala siku zote huwa hana maono zaidi ya kuwaza madaraka tu.
huyo amekaa madarakani kuanzia 1959 mpaka 1990, mpaka alipoona mtoto wake anaweza kuongoza ndo akamwachia kiti, kwa hxo miaka yote hyo hakvkuwa na mtu mwingine mwenye uwezo wa kuwa pm ila yeye tu au?Kiongozi aliye beba maono huwa hataki ujinga,hasa kwenye mambo ya msingi ya kujenga taifa lake.Mtawala siku zote huwa hana maono zaidi ya kuwaza madaraka tu.
Lee alimuua nani ? Alimrithisha madaraka mwanae ?kiongozi auwi watu, kiongozi hafungi watu jela kwa kisingizio cha uhaini, kiongozi afilisi matajiri ila anawabana kwa kutumia sheria ili walipe kodi, kiongozi arithishi mtoto wake madaraka ili amlinde na maovu yake, hayo yote huyo bwana kafanya,
Acha kuongea uongo Lee hakumrisisha madaraka mtu yoyote yulehuyo amekaa madarakani kuanzia 1959 mpaka 1990, mpaka alipoona mtoto wake anaweza kuongoza ndo akamwachia kiti, kwa hxo miaka yote hyo hakvkuwa na mtu mwingine mwenye uwezo wa kuwa pm ila yeye tu au?
Wee jamaa haya umepatia wapi ?🤡kiongozi auwi watu, kiongozi hafungi watu jela kwa kisingizio cha uhaini, kiongozi afilisi matajiri ila anawabana kwa kutumia sheria ili walipe kodi, kiongozi arithishi mtoto wake madaraka ili amlinde na maovu yake, hayo yote huyo bwana kafanya,
wacha bwana, alipotoka madarakani mtoto wake lee hsien loong alishika wadhifa gani?Acha kuongea uongo Lee hakumrisisha madaraka mtu yoyote yule
hakuua mtu hata mmoja, wala hakufunga mtu, wala hakufilisi watu, wala hakukaa madarakani zaidi ya 30 yrs, kimsingi alikuwa malaika yaani.Lee alimuua nani ? Alimrithisha madaraka mwanae ?
Kwan ya kwako umeyapatia wap?Wee jamaa haya umepatia wapi ?
Tena siyo watawala magenge ya wahuniKwa bahati mbaya bara la Afrika lina watawala na sio viongozi.