Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #21
Lee amekuwa Waziri mkuu wa tatu wa Singapore baada ya Lee senior akafuata Goh Chok Tong wewe unaandika pumbawacha bwana, alipotoka madarakani mtoto wake lee hsien loong alishika wadhifa gani?
Acha kuandika umbea kijanahakuua mtu hata mmoja, wala hakufunga mtu, wala hakufilisi watu, wala hakukaa madarakani zaidi ya 30 yrs, kimsingi alikuwa malaika yaani.
wakati goh chok akiwa pm boshen lee junior alikuwa nani, na lee senior alikuwa nani?Lee amekuwa Waziri mkuu wa tatu wa Singapore baada ya Lee senior akafuata Goh Chok Tong wewe unaandika pumba
Unasema PM boshen wewe jamaa bwana mr Goh kawa PM for almost 14 years unaita boshen.wakati goh chok akiwa pm boshen lee junior alikuwa nani, na lee senior alikuwa nani?
unamfahamu yule lecture wa physics na pia alikuwa mbunge ambaye lee alimweka jela miaka 25 kwa kugoma kumsujudu tu (the guy was jailed for 25 yrs just because he refused to bow before that tyrant).Acha kuandika umbea kijana
Huyu ni dictator but a benevolent one, alitawala Singapore kwa mkono wa chuma, so does Magufuli Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!Ukiwa kiongozi wa nchi unapaswa kuwa vipi? Huyu hapa Waziri mkuu wa mwanzo wa Singapore Lee Kuan Yew akitoa somo kuhusu Singapore yake kwa ukali.
Hapa akiizungumzia SIA (Singapore Airlines na uongozi wake miaka ya 1980s).
Singapore Airlines sasa ni shirika bora la ndege duniani kote.
Moja ya matatizo yaliyokuwa yana kabili mataifa mbalimbali duniani baada ya kupata uhuru miaka ya 1950s, 1960s mpaka mwishoni mwa miaka ya 80s ni vita baridi baina ya ukomunisti na ubepari na Singapore ilikumbwa na hilo tatizo.unamfahamu yule lecture wa physics na pia alikuwa mbunge ambaye lee alimweka jela miaka 25 kwa kugoma kumsujudu tu (the guy was jailed for 25 yrs just because he refused to bow before that tyrant).
Sifikiri kama Lee na Magufuli wanakaa mizani moja bwana mayalla.Huyu ni dictator but a benevolent one, alitawala Singapore kwa mkono wa chuma, so does Magufuli Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
P
Ndiyo...Umemskiliza?
Hyo ndo kawaida ya dictator kutafuta excuses za kuumiza watu, hata hapa kwetu kuna watu walipewa kesi za ugaid na dictator ambaye Mungu alituepusha na mazila yake kwa kumuwaisha jehanamu.Moja ya matatizo yaliyokuwa yana kabili mataifa mbalimbali duniani baada ya kupata uhuru miaka ya 1950s, 1960s mpaka mwishoni mwa miaka ya 80s ni vita baridi baina ya ukomunisti na ubepari na Singapore ilikumbwa na hilo tatizo.
Vita baridi viliwafika ndani ya Singapore na ukomunisti kwa support ya wachina walikuwa wanaendesha shughuli mbalimbali ndani ya Singapore against sera za kipebari na kutaka Singapore iwe na ukomunisti Lee hakuelewana mpaka na wakomunisti wachina kwa kuchochea ukomunisti kwa jamii ya wachina walio Singapore na huyo bwana alikuwa na hizo harakati.
Hicho kipindi cha vita baridi kati ya ukomunisti Vs ubepari kilitawaliwa na mapinduzi mengi nchi mbalimbali serikali nyingi ziliishi kwa mashaka iwe za kibepari au za kikomunisti. Serikali nyingi duniani zilipinduliwa.Hyo ndo kawaida ya dictator kutafuta excuses za kuumiza watu, hata hapa kwetu kuna watu walipewa kesi za ugaid na dictator ambaye Mungu alituepusha na mazila yake kwa kumuwaisha jehanamu.
Katika kufanya jambo fulani lazima Kuna hali ya kufanya mambo ya hatari kwa ajili ya ustawi wa taifa.Na kuweka kumbukumbu Sawa hakuna kiongozi asiye na upande hasi kama yupo mtaje?kiongozi auwi watu, kiongozi hafungi watu jela kwa kisingizio cha uhaini, kiongozi afilisi matajiri ila anawabana kwa kutumia sheria ili walipe kodi, kiongozi arithishi mtoto wake madaraka ili amlinde na maovu yake, hayo yote huyo bwana kafanya,
usiseme kiongozi sema mtawala, hakuna kiongozi aliyekaa madarakani kwa zaidi ya miaka 30 mkuu, lee was a tyrant.Katika kufanya jambo fulani lazima Kuna hali ya kufanya mambo ya hatari kwa ajili ya ustawi wa taifa.Na kuweka kumbukumbu Sawa hakuna kiongozi asiye na upande hasi kama hayupo mtaje?
Mwl.Nyeere amekaa madaraka kuanzia 1961 mpaka 1985,je kwa kipindi chote hicho kulikuwa hakuna mtu mwenye sifa ya kuwa raisi isipo kuwa yeye tu?huyo amekaa madarakani kuanzia 1959 mpaka 1990, mpaka alipoona mtoto wake anaweza kuongoza ndo akamwachia kiti, kwa hxo miaka yote hyo hakvkuwa na mtu mwingine mwenye uwezo wa kuwa pm ila yeye tu au?
VISINGIZIO VISINGIZIO, kwanza lee mwenyewe alikuwa mchina.Hicho kipindi cha vita baridi kati ya ukomunisti Vs ubepari kilitawaliwa na mapinduzi mengi nchi mbalimbali serikali nyingi ziliishi kwa mashaka iwe za kibepari au za kikomunisti. Serikali nyingi duniani zilipinduliwa.
Ungepitia machapisho mbalimbali kuhusu kipindi cha vita baridi ungeelewa nini kila serikali duniani ilikuwa inafanya kijilinda.
unatoa mfano mfu, hao si ndo wale wale tu mkuu, wa kuweka watu jela kwa makosa ya uhaini kisa tu watu wana mawazo tofauti na yao. Unamuongelea mtu ambaye mawazo yake mgando yanatutesa mpaka sasa.Mwl.Nyeere amekaa madaraka kuanzia 1961 mpaka 1985,je kwa kipindi chote hicho kulikuwa hakuna mtu mwenye sifa ya kuwa raisi isipo kuwa yeye tu?
Mtoto kapewa nafasi ya kuongoza kwa uwezo wake sio kubebwa na mfumo.
UNA UHAKIKA UNACHOKINENAMtoto kapewa nafasi ya kuongoza kwa uwezo wake sio kubebwa na mfumo.
uongozi bora una pimwa na mafanikio ya kimageuzi katika nyanja zote,hivyo basi sioni kama ni Sawa kutumia nyenzo moja kufika hitimisho la kitu,ndio maana nimekupa mfano wa Mwl.Nyerereusiseme kiongozi sema mtawala, hakuna kiongozi aliyekaa madarakani kwa zaidi ya miaka 30 mkuu, lee was a tyrant.
Mkuu hapa hatujadili kufeli au kufaulu kwa sera fulani bali sifa za kiongozi.Na kuweka kumbukumbu Sawa nisha andika tayali kila kiongozi ana pande mbili hasi na chanya.unatoa mfano mfu, hao si ndo wale wale tu mkuu, wa kuweka watu jela kwa makosa ya uhaini kisa tu watu wana mawazo tofauti na yao. Unamuongelea mtu ambaye mawazo yake mgando yanatutesa mpaka sasa.
hv nyerere na yeye alikuwa na mafanikio gani kwa muda wote aliokaa madarakani? afadhali hata tyrant lee aliyeitoa singapore jalalaniuongozi bora una pimwa na mafanikio ya kimageuzi katika nyanja zote,hivyo basi sioni kama ni Sawa kutumia nyenzo moja kufika hitimisho la kitu,ndio maana nimekupa mfano wa Mwl.Nyerere