Ukiwa Kiongozi wa umma, jitahidi usiongee PUMBA mwezi mzima

Watu wenye akili / intelligent people wapo,hata ccm wapo..changamoto iliyopo..

1)intelligent people HAWATAKIWI ama HAWAPEWI nafasi...kiongozi mwenye akifanya siasa safi kwa kutumia AKILI smartness anaonekana tena kama ana OUTSMART mamlaka ,ama anapingana..mpinzani..au atakubalika sana. kwa kifupi anaonekana kama ni THREAT AMA TISHIO ni HATARI KUWA KIONGOZI MWENYE AKILI .

2)KUSHAMIRI KWA UCHAWA... hata wenye PhD na maprofesa wanaojiita wa majalalani wote wameamua kufungia akili zao makabatini na kuanza kuimba mapambio ya unaupiga mwingi unaupiga mwingi..asubuhi mchana na usiku siku 7 za wiki..wanainama wanasujudu na kuabudu kumsifu kumpamba kwa sifa asizokuwa nazo...hata anayesifiwa kama akiwa makini ni rahisi kujua anasifiwa sifa za uongo.
WATU wanasifia wamekuwa machawa kwa sababu ya MATUMBO YAO ili wapate MAOKOTO PESA na uchawa una walipa wanapata kulamba ASALI KEKI YA TAIFA WANAITAFUNA...kwa gharama ya kuuza utu wao na heshima zao..kwa kujitoa ufahamu..wanajichetua akili..KUFUMBIA MACHO MAOVU na kusifia uovu ili tu wao walambe asali.

Sio kwamba hawana akili timamu NI TAMAA ZAO NA KUTANGULIZA MBELE MASLAHI YAO BINAFSI..ila deep down moyoni ukweli wanaujua moyoni mwao...
 
Wangekuwepo wasingeliruhusu taifa hili lifike hapa lilipofikishwa nao.Ukishajiunga nao Wana kuambia via ubongo na uukabidhi getini. Kabla hujaingia kwenye vikao vyao vya roho mbaya na jinsi ya kulifisadi taifa hili.
 
Attachments

  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 23
Watu wenye akili / intelligent people wapo,hata ccm wapo..changamoto iliyopo..

1)intelligent people HAWATAKIWI ama HAWAPEWI nafasi...kiongozi mwenye akifanya siasa safi kwa kutumia AKILI smartness anaonekana tena kama ana OUTSMART mamlaka ,ama anapingana..mpinzani..au atakubalika sana. kwa kifupi anaonekana kama ni THREAT AMA TISHIO ni HATARI KUWA KIONGOZI MWENYE AKILI .

2)KUSHAMIRI KWA UCHAWA... hata wenye PhD na maprofesa wanaojiita wa majalalani wote wameamua kufungia akili zao makabatini na kuanza kuimba mapambio ya unaupiga mwingi unaupiga mwingi..asubuhi mchana na usiku siku 7 za wiki..wanainama wanasujudu na kuabudu kumsifu kumpamba kwa sifa asizokuwa nazo...hata anayesifiwa kama akiwa makini ni rahisi kujua anasifiwa sifa za uongo.
WATU wanasifia wamekuwa machawa kwa sababu ya MATUMBO YAO ili wapate MAOKOTO PESA na uchawa una walipa wanapata kulamba ASALI KEKI YA TAIFA WANAITAFUNA...kwa gharama ya kuuza utu wao na heshima zao..kwa kujitoa ufahamu..wanajichetua akili..KUFUMBIA MACHO MAOVU na kusifia uovu ili tu wao walambe asali.

Sio kwamba hawana akili timamu NI TAMAA ZAO NA KUTANGULIZA MBELE MASLAHI YAO BINAFSI..ila deep down moyoni ukweli wanaujua moyoni mwao...
Kitendo cha ''mtu mwenye akili'' kukubali kusifia hata ujinga ili tu wapate ugali wao, kinaonyesha hawana akili. Akili na usomi kazi yake ni kukabiliana na changamoto ili kuleta ufanisi kwenye maisha. Ukiwa unajiita wewe ni msomi au una akili na bado hutumii akili zako kukabiliana na uongozi mbovu, basi wewe siyo msomi au huna akili kama unavyojitapa.
 
Kuna kiongozi / viongozi sasa ni zaidi ya miezi anaongea/ wanaongea pumba! Hakuna any meaningful takehome message from his mouth!
Bila kupepesa macho mimi namtaja Mwigulu Nchemba kuwa ni kiongozi wa hovyo kila akipanua domo lake ujue anatoa mashudu tupu na kwa karibu sana anafuatiwa na Albert Chalamila hawa ni watu wa hovyo kabisa na wa kulaumiwa ni mamlaka ya uteuzi.
 
HAYA MAUJINGA yameanzia kutoka juu kabisa mpaka chini...

whi are you?
nguvu iliyotumika inaendana na na hali iliyokuwepo??..mlitaka tuwaangalie tu?
kifo ni kifo tu?
deni la taifa linaonekana kubwa likitamkwa kwa US DOLLAR?
waulize vijana wa tanganyika kama wataandamana tena kwa walichokipata.

Mahakamani kesi ya LISU ni maujinga matupu..

MAUJINGA YAMETAPAKAA KILA SEHEMU KUANZIA ..JUU MPAKA CHINI..

BUNGENI pia....

kila sehemu ....

mtu akionekana ana ka u smart kidogo...anawekwa pembeni...kama chawene..majaliwa..n.k..

yani MTU MWENYE AKILI HATAKIWI...KABISA...wanataka watu wenye ubashite bashite....na UCHAWA..SIFA KUBWA..UCHAWA NA UNAFIKI.
 
JF imepigwa trna pin bila VPN hutoboi, jana tumeingia bila VPN, leo bila VPN hutoboi.

Maxence Melo pls hebu tujuze kinachoendelea haya maccm yatatunyanyasa mpaka lini?
 
Back
Top Bottom