Ukiwa kiongozi wa umma wewe ni mtumishi wetu pokea Simu za Wananchi wako

huenda nimetingwa na majukumu,

nitumie ujumbe tu ndugu mwananchi ukieleza kinagaubaga jambo mahususi unalokusudia kunishirikisha. Nikipunguza majukumu haya mazito yalonitinga, kwa wakati muafaka nitakujibu na huenda nikakupigia ikiwa muda unaruhusu...

hakuna dharau, majivuno wala mabadiliko katika kupokea simu, ni majukumu tu, usichoke wala kukata tamaa kunitafuta 🐒
Vzuri Kama upo hivyo Kuna watu hawapokei simu na hata huoni anachokifanya kumbe angekuwa anapokea simu angejua wapi apafanyie kazi,
 
Sijui Ni desturi yetu sisi waafrica. Unakuta kiongozi hapokei simu na ukizingatia kabla ya uteuzi au kuwa kiongozi simu alikuwa anapokea Ila baada tu ya kuwa kiongozi simu hapokei.

Viongozi wetu ukiwa mbunge, waziri, DC, RC, au naibu waziri, tunaomba simu ikiita hata Kama huna muda kwa wakati huo Basi ukipata nafasi wapigie waulize walikuwa wanasemaje, utabarikiwa Sana na Mungu.

Kutokupokea simu kunamfanya mtu kwenda kwenye ngazi ya juu zaidi kutoa malalamiko yake ambapo kutakufanya wewe kiongozi ambaye hukupokea simu uonekane huwajibiki kwenye nafasi yako.

Soma Pia: Maxence Melo: Kiongozi ukishakuwa kwenye ofisi ya umma kukosolewa ni haki yako

Nitumie fursa hii pia kuwapongeza viongozi wetu wote ambao wamekuwa wakipokea simu zetu Mara tupigapo kwasabu kupokea simu zetu sisi Wananchi ni kumuwakilisha vema Mh. Rais.
Pigeni simu Ofisini. Unampigia simu kiongozi kwenye no yake ili iweje?

Hakuna namba za Ofisini kwao?

Ni ujinga na ushamba tu kuwapigia watu kwenye no zao binafsi. Kama unashida iwasilishe rasmi kupitia mawasiliano rasmi ya kiofisi
 
Walishatuovarate raia wote kuwa sisi ni njaa kali, ombaomba na kila simu kwao huhisi ni ya kutaka waombwe ama kutolewa shida.

Ndiyo saikolojia yao ilipigotea huko.
Ila mkuu; kuna jamaa aliwekaga humu jamii forum namba ya Mh. Dr Msonde, siku napiga alipokea simu yangu na akanipa ufafanuzi zaidi kwa sms Niseme tu viongozi jamii ya Dr Msonde Mungu awalinde Sana
 
Pigeni simu Ofisini. Unampigia simu kiongozi kwenye no yake ili iweje?

Hakuna namba za Ofisini kwao?

Ni ujinga na ushamba tu kuwapigia watu kwenye no zao binafsi. Kama unashida iwasilishe rasmi kupitia mawasiliano rasmi ya kiofisi
Mbona hampokei simu na malalamiko kibao yapo.
Pls work for the people
 
Pigeni simu Ofisini. Unampigia simu kiongozi kwenye no yake ili iweje?

Hakuna namba za Ofisini kwao?

Ni ujinga na ushamba tu kuwapigia watu kwenye no zao binafsi. Kama unashida iwasilishe rasmi kupitia mawasiliano rasmi ya kiofisi
Unadharau Sana inatakiwa watu Kama nyie tuwe tunawareport kwa wahusika
 
Walishatuovarate raia wote kuwa sisi ni njaa kali, ombaomba na kila simu kwao huhisi ni ya kutaka waombwe ama kutolewa shida.

Ndiyo saikolojia yao ilipigotea huko.
Lakini haya manung'uniko yetu huwa yanageuka kuwa laana kwao, nishashuhudia kiongoz mmoja amewaletea dharau Wananchi alinyooshwa na Wananchi mpaka kutenguliwa kabisa
 
Unadharau Sana inatakiwa watu Kama nyie tuwe tunawareport kwa wahusika
Wapi umewahi ona wananchi wanawapigia simu Viongozi?

Huo ujinga wenu ndo manafanya Viongozi kujiona miungu watu na kukiuka Sheria na taratibu.

Mifumo ndo ifanye kazi sio watu. Kama unashida peleka suala lako kwenye Ofisi lifanyiwe kazi kiofisi na Ofisi husika.
 
Vzuri Kama upo hivyo Kuna watu hawapokei simu na hata huoni anachokifanya kumbe angekuwa anapokea simu angejua wapi apafanyie kazi,
kama ni kwa makusudi, si sawa na si ungwana hata kidogo.

niliwahi kupokea malalamiko ya wadau hususan classmates wa ngazi tofauti tofauti, dhidi ya miongoni mwa mawaziri vijanaa sana humu nchini. nilimdokeza jambo hilo, kwamba anajivuna mno, na kwakweli kwa ungwana wake aliniskiza , na alianza kutafuta miscalls za kitambo zate na kuanza kuzicallback mbele yangu,

na zaidi sana,
alifungua hata sehemu ya message zote alizotumiwa direct na kwenye magroup ya mitandao ya kijamii.

Tukasoti hiyo issue mara moja na wadau, na sasa hakuna malalamiko tena na hata kwenye groups za Whatsapp anachati vizuri licha ya kua ni mtu mzito 🐒
 
Kuna viongozi wanahudumu kwenye taasisi wanaviburi jaman dah mpaka kelo hebu badilikeni
 
Wapi umewahi ona wananchi wanawapigia simu Viongozi?

Huo ujinga wenu ndo manafanya Viongozi kujiona miungu watu na kukiuka Sheria na taratibu.

Mifumo ndo ifanye kazi sio watu. Kama unashida peleka suala lako kwenye Ofisi lifanyiwe kazi kiofisi na Ofisi husika.
Pole Sana: ulimwengu wa Sasa hautaki misimamo Kama yako ndugu yangu, labda ww hupigiwi simu kwasabu unadharau lakini dharau zinamwsho, eti mifumo mifumo kwani hyi mifumo haihitaji maelekezo kutoka kwa viongozi? Acha dharau
 
Kiongozi mwenye dharau atajwe hadharani ili ajulikane na ashauriwe kuacha tabia hiyo.
 
kama ni kwa makusudi, si sawa na si ungwana hata kidogo.

niliwahi kupokea malalamiko ya wadau hususan classmates wa ngazi tofauti tofauti, dhidi ya miongoni mwa mawaziri vijanaa sana humu nchini. nilimdokeza jambo hilo, kwamba anajivuna mno, na kwakweli kwa ungwana wake aliniskiza , na alianza kutafuta miscalls za kitambo zate na kuanza kuzicallback mbele yangu,

na zaidi sana,
alifungua hata sehemu ya message zote alizotumiwa direct na kwenye magroup ya mitandao ya kijamii.

Tukasoti hiyo issue mara moja na wadau, na sasa hakuna malalamiko tena na hata kwenye groups za Whatsapp anachati vizuri licha ya kua ni mtu mzito 🐒
Ulifanya vzuri sana kumpa maelekezo ya busara.
Mimi nasema Kuna viongozi unaona kabisa Hana majukum kihvo lakini simu hapokei. Na siku kiongoz wa juu yake akija kutembelea unaona anabanwa maswali ya Jambo lilelile ambalo ulimpigia simu kwa lengo la kumuelekeza au kumkumbusha alifanyie kazi na simu hakupokea mwshoni anaitiwa TAKUKURU
 
Kiongozi mwenye dharau atajwe hadharani ili ajulikane na ashauriwe kuacha tabia hiyo.
Kabisa labda hili jukwa letu lianzishe forum maalumu yakuweka malalamiko yetu kule ili Hawa viongozi wasiotaka kusikia tunataka nini waone na wabadilike
 
Ulifanya vzuri sana kumpa maelekezo ya busara.
Mimi nasema Kuna viongozi unaona kabisa Hana majukum kihvo lakini simu hapokei. Na siku kiongoz wa juu yake akija kutembelea unaona anabanwa maswali ya Jambo lilelile ambalo ulimpigia simu kwa lengo la kumuelekeza au kumkumbusha alifanyie kazi na simu hakupokea mwshoni anaitiwa TAKUKURU
actually,
as young leaders tunaweza kujifunza athari za kupuuzia tunao waongoza hususan kupitia simu za mkononi kwa viongozi vijana ambao hawako kwenye mfumo tena na wala mfumo hauwataki tane...

hii ikimaanisha alikua akipuuza hata wenzie ndani ya mfumo..kuna wa mambo ya ndani wa kipindi hicho cha zamani ametengwa kabisaa 🐒
 
Back
Top Bottom