Ukiwa kwenye 30s alafu unamuona dogo wa 20s anavyoteseka na mapenzi, wewe unabaki unacheka tu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Unakuta dogo anajipa moyo sana huku ameweka nyimbo za mapenzi aki reflect situation yakeπŸ˜‚

Unakuta una experience ya haya mambo, πŸ˜‚πŸ˜‚, muda mwingine unamshauri anakuwa mbishi kweli kwa hio unamuacha apigwe na kitu kizito ili na yeye akifika miaka ya makamo achukulie kuwa mapenzi ni isidingo.

"Ooh ni wiki ya pili hajibu meseji zangu , ooh itakuwa yuko bize mbona huwa anajibu meseji zangu"
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tamthilia 🀣
Mbona unawakatisha moyo wenzio, unafikiri hawapo wanaopendana kwa dhati?
Lakini ni ukweli, mtu akiwa beginner ni ngumu kung'amua mapenzi ya kweli na uongo/kutumiwa ...
Hahaha
Ndugu, nakuacha tu.

Karibu kwa ajili ya msaada zaidi wa ushauriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewee acha wewe

Hauwezi niambia mtu anamiaka 38 eti awe anayavhukulia mapenzi kitoto toto

Labada kama ni retard hyo
Nenda super market.
Nenda sehemu za starehe
Nenda nyumba za Ibada hasa kanisani
Nenda kwenye matamasha
Nenda kwenye ofisi zetu hizi unakuta Boss mtu mzima anapelekwa mputa mputa na kabinti ka 20's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…