sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 5,203
- 13,364
Ndio maana me nimemwambia kipigo kipo pale pale..Sasa hao wa 30s c ndo wale wanashona vitenge wanavaa pamoja, huu n umaandazi huu
Tunachotofautiana ni uhuru na uchumi..
Wakati unashangaa madogo wanakumbatiana barabarani kumbuka nawewe unavyokumbatiana huku mbugani au hotel ya nyota tano..
Wakati unashangaa dogo anahonga mkungu wa ndizi kumbuka nawewe ulivyohonga iphone 16..
Kipigo kipo pale pale tofauti ni uhuru na uchumi.