Ndio maana me nimemwambia kipigo kipo pale pale..Sasa hao wa 30s c ndo wale wanashona vitenge wanavaa pamoja, huu n umaandazi huu
Uzi ufungwe,Hayanaga umri mkuu..kipigo kipo pale pale haijalishi una umri gani
Ungekuwa kwenye 50s na ukaona wa 30s wanavyoteseka si ndiyo ungezimia?Unakuta dogo anajipa moyo sana huku ameweka nyimbo za mapenzi aki reflect situation yakeπ
Unakuta una experience ya haya mambo, ππ, muda mwingine unamshauri anakuwa mbishi kweli kwa hio unamuacha apigwe na kitu kizito ili na yeye akifika miaka ya makamo achukulie kuwa mapenzi ni isidingo.
"Ooh ni wiki ya pili hajibu meseji zangu , ooh itakuwa yuko bize mbona huwa anajibu meseji zangu"
ππView attachment 3272314