Ukiwa Makini Utagundua kwamba Nyakati zinawalazimisha CCM kuwa wakweli

Ukiwa Makini Utagundua kwamba Nyakati zinawalazimisha CCM kuwa wakweli

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
The world is naked. Hakuna jambo utafanya watu wasijue chaguo ni moja tu uwe mkweli watu wakuamini au uwe muongo watu wakudharau.

Ulimwengu huu wa science and Technology kuna vitu vinafaanyika hadi CCM wanabaki midomo wazi wachague moja waache siasa za ujima na stone age.

Tofauti na hapo watakuja kulia mbele ya safari kwa sababu kwa akili yao ndogo bado wanapuuza nguvu ya mitandao ya kijamii ndiyo itakayowatoa madarakani.

IMG-20250926-WA0069.jpg

 
Back
Top Bottom